Tanzania haijawahi kupata Rais kama Samia

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709

Japo tuliwahi kuwa na baadhi ya marais wa hovyo kama Jakaya Kikwete, huyu wa sasa sina la kusema. Sijui kama anajua anachofanya kiumbe huyu. Mungu atusaidie ikiwezekane amkutanishe na Magu japo tupumue. Inakuwaje tugeuzwe koloni la koloni letu nasi tuangalie hata kushindwa kulalamika?
Nawasilisha kilio changu.
 
The worst presdant ever. Yuko hapo kwa maslahi ya mafisadi
 
Rais hajui kuhesabu!
 
Mimi siyo moderator ila nina uhakika hii heading Imekuwa edited
 
πŸ“πŸ“πŸ“πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨ Huyu ndio kiboko wa vibaraka wote.

Na Mungu wako wa Mchongo hana Cha kumfanya Wala kukusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…