Tanzania haijawahi kupata Rais kama Samia

Bado hamjasema...
Hii ni mwendo mdundo mpk 2030!
Mpaka mseme
 
Takataka hiyo mkuu!
 
Rais wa hovyo sana.leo nimepita mbezi msakuzi wilaya ya ubungo,nikaona Barabara yote ni mashimo tu hadi nikamkumbuka magufuli.Uchawa uliokithili wa kiwendawazimu umetuletea rais bogus
Na bado! Mpk 2030 mtakuwa mmetoa milio ya kila namna
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒMi mtoa mada anisamehe kabisa, maana wakati nasubiri mada ifunguke nilikuwa natoa matusi si ya kawaida kimyakimya. Baadae maelezo yakaenda upande wangu.
🀣🀣🀣🀣
 
Kila anapotanabaishwa na sifa ya "udaktari" mbele za watu, basi hapo kila kitu huaribika. Alianza na "who're you?' sasa bei zao za mafuta kwa Lita ni €4,000 ama US $8,000
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mnafikiri wamarekani ni wajinga kwa kutomchagua mwanamke kuwa Rais?

Mpaka 2030 mtajuta kuzaliwa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…