Tanzania haijawahi kupata Rais kama Samia

Kuna muda mpaka unajikuta unamlaumu marehemu kwanini alimteua huyu mother awe makamu 😭😭😭😭magu popote ulipo ujue hapa ulituuza tena rejareja🏃🏃🏃
Wa kulaumiwa hapo ni Kikwete, mzee mpumbavu sana yule. Magu alikuwa amemchagua Mwinyi Hussein alishasema hilo ila zee la Msoga likashinikiza!
 
Samia is an intellectually stunted piece of shit.
😂😂😂Kuna video nyingine nmeona anasema kabla yake wanawake 500 kati ya laki 1 wanaojifungua hufariki akasema hiyo ni nusu kwa nusu! Yani nusu ya laki 1 ni mia tano kweli alafu anajiamini kabisa.

Kilaza ni kilaza tu ndio maana jpm alikuwa anamtenga sababu alijua ni kilaza
 
Kuna muda mpaka unajikuta unamlaumu marehemu kwanini alimteua huyu mother awe makamu 😭😭😭😭magu popote ulipo ujue hapa ulituuza tena rejareja🏃🏃🏃
Magu alitamka hadharani kwamba huyo pimbi hakuwa chaguo lake, yeye chaguo lake alikuwa Mwinyi.

Ni kikwete ndio alieshawishi watu wakamteua huyo pimbi
 
Sikieni hapa tena hii takataka yenu! Humo kichwani hazimo kabisa!
View attachment 3570906
Msimlaumu sana, walaumiwe waliotumia nguvu, connections na resources zao kumuweka hapo alipo ilhali wakijua kuwa huyo Mwajuma Kizimkazi ni mbumbumbu, hana akili na wala hana busara. Full miswaki na D moja ya Kiswahili form four lakini bado mnamlaumu wakati it's obvious kwamba hana hata chembe ya akili, huyo ni wa kuonewa huruma si wa kulaumiwa. Timu yake huwa inahaha kuficha na kurekebisha mauozo yake vinginevyo tungekuwa tunajione na kusikia vituko vinavyotia kinyaa kila uchwao.
 
Wa kulaumiwa ni CCM yaani wamekosa mwanaume Mtanganyika wa kuwa Rais hadi wakaweka hili boya? Alaaniwe Jakaya Mrisho Kikwete kwa kushinikiza Samia awe Rais kwa manufaa ya familia yake na maccm kama mazuzu yakamkubalia.
 
Inafikirisha, yaani kbs katika taifa lenye idadi ya watu takribani ml 62 usalama wa taifa ukachambua na kuona huyu ndiye anatosha kutuongoza?!

Sasa faida ya kuwa na usalama wa taifa ni nn ikiwa hawawezi fanya vetting kwa nafasi nyeti kama urais?!.
TISS ya sasa ni takataka kabisa wao ni machawa tu wa watawala wamejaa vilaza wa uvccm tu huko.
 
Wakati wa kampeni alisema serikali yake itanunua matrekta milioni kumi, huyu ana matatizo kwenye ubongo wake si bure.Tunatawaliwa na sakala.
 
Kule TISS kumejaa wapumbavu! Zamani akili ndizo zilikuwa zinampeleka mtu TISS, sasa hivi hata maandazi wanaenda TISS nilishangaa mpwa wangu naye akapigiwa upatu kwenda TISS wakati mimi najua ni andazi!
Unamaanisha ni SHOOOO...?
 
Magu alitamka hadharani kwamba huyo pimbi hakuwa chaguo lake, yeye chaguo lake alikuwa Mwinyi.

Ni kikwete ndio alieshawishi watu wakamteua huyo pimbi
Noma sana
 
Mungu fundi sana, yaani Samuya huwa anajikaanga tu na mafuta yake mwenyewe...inakuwa imetosha!!.
Ndo uzuri wa kuwa na rahisi kilaza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…