Tanzania haijawahi kupata Rais kama Samia

Rais wa hovyo sana.leo nimepita mbezi msakuzi wilaya ya ubungo,nikaona Barabara yote ni mashimo tu hadi nikamkumbuka magufuli.Uchawa uliokithili wa kiwendawazimu umetuletea rais bogus
Ile lami ilipigwa kuanzia kati ikaishi kanisani pale,mimi nlijuwa imefika mpaka msakuzi kumbe bado

Ova
 
Huyo Mwinyi na huyo samia ni chungu kimoja . hakuna CCM mwenye akili
Bora kidogo Mwinyi aisee kuliko huyo kiumbe! She can't just think before opening her stinking mouth!
 
Kama kawaida yangu mimi namuogopa mungu, njaa na uji moto hii serikali yote ni ya kuzamisha tuanze upya
 
Hatoshi hatankuwa mjumbe wa nyumba kumi.
 
Bado kabisa.ni mashimo kwa kwenda mbele
Aise basi muda sana nlipita nlikuwa naenda msakuzi pale kwa ribaba sema njia mbovu sana wenye magari ya chini unawaonea huruma jinsi zinavyovongaa

Ova
 

Mwenyezi Mungu muumba wa dunia hii tunakuomba utuondolee huyu shetani kwenye uso wa nchi yetu
 
Watanzania tumepanda mtumbwi wa vibwengo..!! 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…