lete rimoti
Senior Member
- Aug 24, 2021
- 152
- 196
Nimeiona Video hii ya alichokisema Afande Huyu Kp Suzan Kaganda. Ama Kwa Hakika machozii yana nirengarenga na Kila mara naitazama.
Ukweli ni Kwamba Mungu wetu wa Mbinguni Hafumbii macho uovu wowote, hata kama Taasisi / nchi Ina Mabaya mengi lakini lazima Mungu Atamwinua Mmoja Wa Kunyoosha Haki.
Ninakupongeza Mh Rais kwa kuwa Umempandisha cheo Askari Huyu, lakini Pia Nimeipongeza Idara ya Tiss (Kwa Kuwa pengine wamehusika Kuleta jina la Huyu mama mezani pako) hongereni Sana Viongozi wa Tiss Kwa vetting hii Bora kuwahi kutokea.
Hii nchi sijaona Askari Mzalendo kama wewe Kp Suzan Kaganda Mungu akulinde najua Kwa Maneno Yako haya ni Tayari umetupa jiwe kwenye mzinga wa Nyuki. Lakini amini Bi Mkubwa hii Dunia Tunapita we Piga Kazi Yako Na nitakuombea. Japokuwa sikujui Wala hunijui.