lete rimoti
Senior Member
- Aug 24, 2021
- 159
- 202
Acha majungu wewe. Nyumba ya Hakimu mstaafu Mama Salome Kaganda. Nyumba aliopewa na serikali aka asante Mkapa. Haya katafute data uhusiano wake na huyo Mama Salome Kaganda.Lile jengo pale Oysterbay, palipokuwa na ofisi ya DSTV ni mali yake, anashusha ghorofa, kapata wapi hela ya kununua nyumba Oysterbay, kuvunja na kujenga?
Nimsaidie, huyo hakimu Mstaafu ni mama yake (Biological Mother) Afande Salome KagandaAcha majungu wewe. Nyumba ya Hakimu mstaafu Mama Salome Kaganda. Nyumba aliopewa na serikali aka asante Mkapa. Haya katafute data uhusiano wake na huyo Mama Salome Kaganda.
Huyo hawatompa chapuo hata kidogoNimeiona Video hii ya Alichokisema Afande Huyu Kp Suzan Kaganda. Ama Kwa Hakika machozii yana nirengarenga na Kila mara naitazama.
Ukweli ni Kwamba Mungu wetu wa Mbinguni Hafumbii macho uovu wowote, hata kama Taasisi / nchi Ina Mabaya mengi lakini lazima Mungu Atamwinua Mmoja Wa Kunyoosha Haki.
Ninakupongeza Mh Raisi Kwa Kuwa Umempandisha cheo Askari Huyu, lakini Pia Nimeipongeza Idara ya Tiss (Kwa Kuwa pengine wamehusika Kuleta jina la Huyu mama mezani pako) hongereni Sana Viongozi wa Tiss Kwa vetting hii Bora kuwahi kutokea.
Hii nchi sijaona Askari Mzalendo kama wewe Kp Suzan Kaganda Mungu akulinde najua Kwa Maneno Yako haya ni Tayari umetupa jiwe kwenye mzinga wa Nyuki. Lakini amini Bi Mkubwa hii Dunia Tunapita we Piga Kazi Yako Na nitakuombea. Japokuwa sikujui Wala hunijui.
kanywe soda kwa Mangi umlipe bei elekeziAcha majungu wewe. Nyumba ya Hakimu mstaafu Mama Salome Kaganda. Nyumba aliopewa na serikali aka asante Mkapa. Haya katafute data uhusiano wake na huyo Mama Salome Kaganda.