Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Botswana wana deni ganiSiioni Marekani. Siioni Kenya. Siioni Uganda. Siioni Uingereza. Siioni China.
Botswana pamoja na deni lao naona wamo.
Mkuu, sidhani Kenya watakuwamo hata tukifikia nchi 100.Kama Kenya hawapo basi ipo poa tu...
Mara ya mwisho tz ilikuwa ya ngapi?Huko nyuma Tanzania ilijulikana duniani kama nchi ambayo ilikuwa kisiwa cha amani. Sasa kutokana na matukio mengi ya kuvunjwa kwa haki za binadamu pamoja na migongano ya kisiasa na vitendo vya polisi dhidi ya raia Tanzania haionwi tena kuwa nchi yenye amani.
Badiliko kubwa la kuitoa Tanzania toka kuwa mojawapo ya nchi za amani limetokea katika uongozi wa awamu ya tano. Hivyo serikali ya awamu ya tano ipongezwe kwa kujitahidi kuimarisha uchumi na kumaliza ufisadi, lakini isutwe kwa kuiondoa Tanzania kweye listi ya nchi zenye amani duniani.
Kwa Afrika nchi zilizomo kwenye listi ni Mauritius, Botswana, Sierra Leone, Madagascar, Ghana, Namibia, Malawi na Zambia.
Mataifa 50 yanayoongoza kuwa na amani duniani mwaka 2018 ni kama ifuatavyo;
View attachment 876351
Hahaha! ILikuwamo katika nchi 50 zenye amani kabla ya utawala huu. Nchi kama Sierra Leone, Malawi hazikuwamo.Mara ya mwisho tz ilikuwa ya ngapi?
Siioni Marekani. Siioni Kenya. Siioni Uganda. Siioni Uingereza. Siioni China.
Botswana pamoja na deni lao naona wamo.
Hata USA na Russia siwaoniHuko nyuma Tanzania ilijulikana duniani kama nchi ambayo ilikuwa kisiwa cha amani. Sasa kutokana na matukio mengi ya kuvunjwa kwa haki za binadamu pamoja na migongano ya kisiasa na vitendo vya polisi dhidi ya raia Tanzania haionwi tena kuwa nchi yenye amani.
Badiliko kubwa la kuitoa Tanzania toka kuwa mojawapo ya nchi za amani limetokea katika uongozi wa awamu ya tano. Hivyo serikali ya awamu ya tano ipongezwe kwa kujitahidi kuimarisha uchumi na kumaliza ufisadi, lakini isutwe kwa kuiondoa Tanzania kweye listi ya nchi zenye amani duniani.
Kwa Afrika nchi zilizomo kwenye listi ni Mauritius, Botswana, Sierra Leone, Madagascar, Ghana, Namibia, Malawi na Zambia. Tukumbuke kuwa habari kama hizi zinaharibu sana soko la utalii na uwekezaji.
Mataifa 50 yanayoongoza kuwa na amani duniani mwaka 2018 ni kama ifuatavyo;
View attachment 876351
Source: Institute for Economics and Peace (IEP)
Kwa heri kisiwa cha amani!R.I P TANZANIA