hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
wewe tena " na Jiwe ...hahaa kama sungura na carotWewe ACHA HIYO KABISA WALAHI
MAMA TANZANIA ATAKUMALIZA WALAHI, its not a joke walahi
wewe tena " na Jiwe ...hahaa kama sungura na carotWewe ACHA HIYO KABISA WALAHI
MAMA TANZANIA ATAKUMALIZA WALAHI, its not a joke walahi
Hawa ukiachilia nchini mwao, wanazunguruka duniani kupigana vita visivyowahusu, si ajabu wakashika mkia.Hata USA na Russia siwaoni
kwahiyo lazima muuwe ili muwe na streamliner?Anayekupandiksha ndo anakushusha, kwa sasa hatutaki sifa za kinafiki tunapambana na hali yetu, viva serikali ya awamu ya tano. Orodha kitu gani watuweke na orodha ya nchi zenye flyover kuonyesha tumepiga hatua au zenye streamline.
Yaani waTz humu mnavosema hatupo top 50 utadhani tupo that far from top 50 wakati hapo sisi Tanzania ni ya 51 kwa dunia nzima, ni ya 8 Afrika ni ya 1 East and Central Africa.....Bado nchi nyingi zinatutegemea likija swala la Amani especially East and Central Africa.
Nchi ambazo kila siku tunahisi ndio nchi za kuzikimbilia kimsaada wa kijeshi na vitu kama hivyoo zenyewe hazina amani hiyo ambayo tunayo Watz..
Wewe ngumbalu kweli. Sasa ulitaka tuseme Tanzania imo wakati taarifa inasema haimo? Hayo mapenzi ya upofu mtajwa fanyiwa kitu mbaya siku mojaUmekula umeshiba,ukajiunga bando lako la jero ili kuisimanga nchi yako,hivi huwa mnajisikiaje kujitia ujuaji mwingi,na kuchochea vurugu? Unajua maana ya kukosa amani? Mnaiga ili muonekane wasomi kumbe mamaku tu.watu tunatembea mapori na mizunguko kibao hapa mjini owe mchana ama usiku lakini amani IPO tu.MUNGU ibariki Tanzania.
Marekani wamo?Hahaha! ILikuwamo katika nchi 50 zenye amani kabla ya utawala huu. Nchi kama Sierra Leone, Malawi hazikuwamo.
Suala la kujiuliza kama Watanzania ni kwamba, hivi tunapenda sana uchumi ukue na ufisadi ukomeshwe kwa gharama ya kukosa amani nchini? Ndio maana nilisema kwamba ikiwa Magufuli angeweka jitihada kidogo tu ya kuifanya Tanzania kuwa ya amani, kuvumilia siasa za upinzani na kutokuwa mbele kukiuka haki za binadamu, basi angekuwa the best president sio tu Tanzania bali hata Afrika na duniani kwa ujumla. Lakini sasa huyu jamaa pamoja na jitihada kubwa katika ufisadi na uchumi ni kinara wa kuvunja haki za binadamu na demokrasia. Kwa nini? Ni sawa na kama unaoa mke bora sana kwenye kupika na usafi wa ndani, lakini kwenye kulea watoto na mambo mengine ya ndani ndani anakuwa zero kabisa. Huyo ni mke bora? Wengine watsema ndio wengine hapana, mie ninasema hapana. Mke bora ni yule anaejua kubalance kila kitu.
Vipi kuhusu Marekani, Russia, China?KIna Tomaso lazima siku zote watakuwapo tu. Hivi unajua hata hao Institute for Economics and Peace (IEP) walioitengeneza, au wanatumia vigezo gani? Kama unadhani ni mambo ya kujitungia kwanza tafuta vigezo wanavyotumia kutengeneza hii list halafu ndio uvichambue, sio unapigia kelele kitu usichokijua. Marekani wangekuwamo ungesema imetengenezwa na Wamarekani wamejipendelea. Mswahili bwana, ukimsifia anakupongeza, ukimkosoa atasema muongo, mchochezi na unaendeleza porojo. Tutafika kweli?
Hebu tuambie Sierra Leone umesikia lini wanapigana kwenye uchaguzi au kupotezea wapinzani au kuwaweka ndani bila sababu za msingi? Ulishasikia wapinzani wamepigwa risasi huko? Ulishafika Sierra Leopne hata siku moja? Au unafikiri mkiwa na historia ya ebola basi hamna amani?
Nani kakudanganya usa kuna amani? Daily kuna shootingsSiioni Marekani. Siioni Kenya. Siioni Uganda. Siioni Uingereza. Siioni China.
Botswana pamoja na deni lao naona wamo.
Hizi nchi hazina amaniVipi kuhusu Marekani, Russia, China?
Marekani ya 121Vipi kuhusu Marekani, Russia, China?