Tanzania haina wajasiriamali, kuwapata ni ngumu na wakipatikana mauzo ya kwanza vurugu za mgao

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,204
NIwahi sema tanzania haina hazina sana ktk kuanzisha jambo(kuanzia biashara hadi taasisi),waliopo wote wakiona mafanikio kidogo wanataka gawana,eti njaa zimezidi, na wafikiri kuwa wanahitaji jitihada ili wajiweka sehemu wasipoweza terereka.

Tanzania vijana na wazee hawana uvumilivu wa la nia ya kujituma na kupambana ili kupata mafanikio kwa bidii na akili haswa pale mtaji unakuwa mgumu, wengine hujibanza huku wakidhani ajira,au kujikomba sehmu kutawaokoa..wakati weingine wakiweka kila kitu ili kufikia mafanikio...halafu mara tuu mafanikio yanaanza onekana kwa mauzo ya kwanza, au kufikiwa kwa lengo fulani hadi watu wakaanza kusema kuna njia..wale wa kujibanza uanza vita kubwa kuliko nguvu waliyoweka wakitaka mgao, wengine hudiriki kabisa hata kuachia urithi na kuita wanandugu na familia kuja chukua mgao..

Hii ndio imeua na vyama vya kisiasa nchini, hii imeua viakmpuni vya wajasiriamali, hivi vimeua aina zote za ujasiria mali.Hakuna watu wa kutosha jiuliza km walivumilia kipindi hawana kitu kwanini sasa wasivumilie ili walichokipata kiongezee mtaji ili wafikie haraka ktk uimara w akuvumilia ushindani, mikimiki na hila za wapinzani.?

Hii imechangiwa sana watanzania kutokuwa na uelewa wa dhana ya kujinyima, kufunga, kujitolea etc...watanzania wakifunga wanataka ,vishawishi viondolewe, watanzania hawaendi bar,kwa vimada pale wakiwa hwana hela wala hakika ya bure tuu....wajasiria mali ktk partnership hasa wale walio ktk hajira zinazowatosha kufanya mbwembwe huwa hawapo tayari compromise kazi zao, kwa lolote hata ikibidi kuwakana wenzao na watoto wao, hawapo tayari kujihusisha na kakmpuni kadogo ambako hata usafiri hakana, wala ila panapotokea breakthrough yoyote ambayo inazungumziwa mjini..basi hutokeza, na inapofikia kuwa na hakika kuwa hakuna cha kufa tena ndio basi balaa linazidi..wanataka sasa wachukue nafasi ya juu ili wakatambe kuwa walitoka jasho,ili wakachukue glory..hii ni laana hadi kwa vijana ktk biashara...hawapo tayari kuanza bishara kw amtaji mdogo au nguvu kazi..hawapo tayari kujiunga au kujituma ktk vyama kwa kiasi ch akuwaudhi watawala,..leo ndio tunaona haya nchini Tanzania.

NI mbaya sana...mwenye akili na ajue jinsi ya kupunguza partnership kadiri awezavyo ktk ujasiria mali, na ktk siasa pia wanahitaji wanachana walioaminiana kuwekeana sheria kali kwani mbele ya safari kabla vyma havijakomaa kuna wengi watasumbua ktk wale wavivu..wale waliodhani kuwa kuna kikubwa upande mwingine,halafu njaa ikawauama zaidi ,chochoe mnachovuna watataka zaidi kwa kiwango cha tamaa zao walizozinenepesha wakati wakienda ngalai vya watu wakati wakijenga ,na kupanda.
 
mkuu umeeleza ukweli kabisa,naunga hoja mabadiliko ya kujitambua yanahitajika sana kwa watanzania
 
Muda si mrefu wajasiria mali wengi sana watapotea, na watafanikiwa watu walioanza vitu pekee yao, n akuwaajiri wengi huku wakiwa imara sana n akuepusha vita ya maslahi.
 
Hata sijui unatumiaga nini mwenzetu, nyuzi zako wakati mwengine azieleweki kabisa. Mara wajasiliamali, mara wanasiasa, mara sijui kutumia faida, mara kugombana, mara wanasiasa wamekuwa wajasiriali or the other way round kwenye taasisi as if a political organisation and a business organisation are managed in the same manner. Yaani inakuwa vigumu sana kukupata.

Ushauri wa bure acha kutumia hicho kilevi.
 
Nicholas mie nimekupata vyema sana kiongozi, ulichosema ni sahihi na kipo sana Tanzania kwani watu hawataki kujitoa muhanga kusimamia kile wanachoamini wanachozungumza midomoni mwao kilichowekwa kwenye makabrasha memorondum hawakubali kuwa kujitoa na kusimama kwa kile walichokipanga na kuamua kufanya inawezekana. Kikubwa ni uoga wa kufeli na unafki wa kujifanya wanaweza. Huyu Happy feet ni mfano mmoja wao ati haelewi ulichoandika nadhani umemgusa japo hukuwa na dhamira hiyo.
Ubarikiwe sana Nicholas kwa uzi huu.
 
Kobe kama umempata ebu tuelezee maana sisi wengine katuacha njia panda, anacho ongea is very hard to grasp.
NIwahi sema tanzania haina hazina sana ktk kuanzisha jambo(kuanzia biashara hadi taasisi),waliopo wote wakiona mafanikio kidogo wanataka gawana,eti njaa zimezidi, na wafikiri kuwa wanahitaji jitihada ili wajiweka sehemu wasipoweza terereka.
Taasisi hipi anaongelea, chama cha walemavu (ambacho kina agenda nyengine ambazo si za faida) chama cha siasa, chama cha wafanyakazi, UWT, ni taasisi gani ambayo anaongelea hata kama sijaitaja maana taasisi yenye kusimama kama pressure group is not profit oriented na kama ikifa au ikiwa legelege ina maana tatizo sio viongozi tu bali wanachama wote walioko ndani kukubali kuona maslahi yao hayasimamiwi na wanakubali kuendeshwa na watu wasiojua wanafanya nini. I dont think that has anything to do with ujasiriamali its more of activism than aiming for profits.

Hali kadhalika taasisi binafsi yenye malengo ya kibiashara lazima hiwe na malengo na makubaliano, ndio sababu watu wanawekeana mikataba. Kama jamaa wawekezaji wanajua malengo yao ni kukua lazima kuwe na adabu ya matumizi na kujilipa, lakini kama watu wawili wamechanga kununua gari na kusumbuka kuliuza kila mtu akiamua kuchukua chake kuna kulaumiana kweli maana maelewano ya kuwekeza ilikuwa kununua gari na kuliuza. Sasa yeye anazungumzia biashara gani au taasisi gani? vinginevyo tutachukulia jumla jumla na kutuwacha wasomaji tujibunie alikuwa ana maanisha nini maana habari yenyewe imekuja kimtindo huo (guess what im trying to say) ndio maana nikasema aeleweki.

Tanzania vijana na wazee hawana uvumilivu wa la nia ya kujituma na kupambana ili kupata mafanikio kwa bidii na akili haswa pale mtaji unakuwa mgumu
haya sasa keshasema mtaji unapokuwa mgumu, what are people supposed to do in that case, ebu niambie mtaji umeshakuwa mgumu i am thinking all the legal channels have been tried, kwenda kwenye institution za mikopo na pengine hata kwenda kukopa kwa mjomba tajiri kote kumeshindana, sasa mtu atumie akili gani tena au analaumu tu.
wengine hujibanza huku wakidhani ajira,au kujikomba sehmu kutawaokoa..wakati weingine wakiweka kila kitu ili kufikia mafanikio.
.Can he blame them for doing that wakati there are no options unadhani vijana waliomaliza vyuo na ambao hawana ajira wala mitaji wasipojikomba wataondoka vipi kwa sasa, nilidhani labda angesema serikali iongoze jitihada za kusaidia watu kupata mikopo au kupata ajira hili waache tabia za kujikomba yeye tayari anawalaumu watu ambao hawana options and means, wafanyaje kwa hali iliyopo in my eyes kujikomba ni profession kwa sasa ndani ya Tanzania (things have to change, the government needs to build opportunities at least for graduates for now).

halafu mara tuu mafanikio yanaanza onekana kwa mauzo ya kwanza, au kufikiwa kwa lengo fulani hadi watu wakaanza kusema kuna njia..wale wa kujibanza uanza vita kubwa kuliko nguvu waliyoweka wakitaka mgao, wengine hudiriki kabisa hata kuachia urithi na kuita wanandugu na familia kuja chukua mgao..
From there on i was lost maana huko juu kazungumza mengine mara tu mafanikio, watu hawana mitaji hayo mafanikio ni yepi, kama hii argument ni zao la paragraph yake ya kwanza taasisi ipi anazungumzia, kama ni ya kibiashara ni ipi maana kama ni kiwanda inachukua muda watu kupata kile walichowekeza mpaka wakifilisi wenyewe in short; its more likely they would incur loses in their investments, unless labda tunazungumzia mchango wa gari na kuliuza.

Hii imechangiwa sana watanzania kutokuwa na uelewa wa dhana ya kujinyima, kufunga, kujitolea etc
How without explaining, huyu mwandishi anajiamulia vitu vipo kwa namna yake na kujipa majibu tu yakujiridhisha bila ya kufafanua, huko chini ndio kabisa hata sijui alikuwa anaongea nini.

Aache anachotumia
 
Mkuu Nicholas inahitaji elimu ya siasa kiasi kukuelewa, na hili ni jukwaa la uchumi na biashara, ungeacha siasa kando ukapiga kwenye point tukajadili. BTW, mnapoanzisha biashara ya kikundi lazima muwe na katiba yenye uwazi na yenye kueleweka, kama mmeuziana hisa na mtu anahisi anahitaji pesa inajulikana hakuna jinsi ya kuchota pesa ya kampuni kumpa, kujitoa kwake ni kuuza hisa tu...huo ni mfano huenda sijaelewa vizuri unachomaanisha. Asante mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Kobe kama umempata ebu tuelezee maana sisi wengine katuacha njia panda, anacho ongea is very hard to grasp.
Taasisi hipi anaongelea, chama cha walemavu (ambacho kina agenda nyengine ambazo si za faida) chama cha siasa, chama cha wafanyakazi, UWT, ni taasisi gani ambayo anaongelea hata kama sijaitaja maana taasisi yenye kusimama kama pressure group is not profit oriented na kama ikifa au ikiwa legelege ina maana tatizo sio viongozi tu bali wanachama wote walioko ndani kukubali kuona maslahi yao hayasimamiwi na wanakubali kuendeshwa na watu wasiojua wanafanya nini. I dont think that has anything to do with ujasiriamali its more of activism than aiming for profits.

Hali kadhalika taasisi binafsi yenye malengo ya kibiashara lazima hiwe na malengo na makubaliano, ndio sababu watu wanawekeana mikataba. Kama jamaa wawekezaji wanajua malengo yao ni kukua lazima kuwe na adabu ya matumizi na kujilipa, lakini kama watu wawili wamechanga kununua gari na kusumbuka kuliuza kila mtu akiamua kuchukua chake kuna kulaumiana kweli maana maelewano ya kuwekeza ilikuwa kununua gari na kuliuza. Sasa yeye anazungumzia biashara gani au taasisi gani? vinginevyo tutachukulia jumla jumla na kutuwacha wasomaji tujibunie alikuwa ana maanisha nini maana habari yenyewe imekuja kimtindo huo (guess what im trying to say) ndio maana nikasema aeleweki.

haya sasa keshasema mtaji unapokuwa mgumu, what are people supposed to do in that case, ebu niambie mtaji umeshakuwa mgumu i am thinking all the legal channels have been tried, kwenda kwenye institution za mikopo na pengine hata kwenda kukopa kwa mjomba tajiri kote kumeshindana, sasa mtu atumie akili gani tena au analaumu tu.
.Can he blame them for doing that wakati there are no options unadhani vijana waliomaliza vyuo na ambao hawana ajira wala mitaji wasipojikomba wataondoka vipi kwa sasa, nilidhani labda angesema serikali iongoze jitihada za kusaidia watu kupata mikopo au kupata ajira hili waache tabia za kujikomba yeye tayari anawalaumu watu ambao hawana options and means, wafanyaje kwa hali iliyopo in my eyes kujikomba ni profession kwa sasa ndani ya Tanzania (things have to change, the government needs to build opportunities at least for graduates for now).

From there on i was lost maana huko juu kazungumza mengine mara tu mafanikio, watu hawana mitaji hayo mafanikio ni yepi, kama hii argument ni zao la paragraph yake ya kwanza taasisi ipi anazungumzia, kama ni ya kibiashara ni ipi maana kama ni kiwanda inachukua muda watu kupata kile walichowekeza mpaka wakifilisi wenyewe in short; its more likely they would incur loses in their investments, unless labda tunazungumzia mchango wa gari na kuliuza.

How without explaining, huyu mwandishi anajiamulia vitu vipo kwa namna yake na kujipa majibu tu yakujiridhisha bila ya kufafanua, huko chini ndio kabisa hata sijui alikuwa anaongea nini.

Aache anachotumia

vyama vyote ujuavyo vina shida, kampuni na ushirika wote uujuo ni hivyo hivyo.
 
Mkuu Nicholas inahitaji elimu ya siasa kiasi kukuelewa, na hili ni jukwaa la uchumi na biashara, ungeacha siasa kando ukapiga kwenye point tukajadili. BTW, mnapoanzisha biashara ya kikundi lazima muwe na katiba yenye uwazi na yenye kueleweka, kama mmeuziana hisa na mtu anahisi anahitaji pesa inajulikana hakuna jinsi ya kuchota pesa ya kampuni kumpa, kujitoa kwake ni kuuza hisa tu...huo ni mfano huenda sijaelewa vizuri unachomaanisha. Asante mkuu.

kwani shida ni katiba...mbona CDM wana katiba, mbona NGO nyingi zina katiba,huwezi sajili taasisi bila katiba, na kampuni ina exit ,na entry point ktk constitutions.Ila wapi hakuna shida..hadi simba na yanga kuna wazee hawajwahi ingiza hela ktk miaka 30 ya mwisho ila bado wanadai kuwa wamepambana sana kuiweka simba ilipo.
 
niko we unafikiri kwa nini wabongo waoga kuanzisha kitu nawakati huohuo kimbelembele kuvuna matunda?. inawezekana ujamaa umechangia?
 
Hata sijui unatumiaga nini mwenzetu, nyuzi zako wakati mwengine azieleweki kabisa. Mara wajasiliamali, mara wanasiasa, mara sijui kutumia faida, mara kugombana, mara wanasiasa wamekuwa wajasiriali or the other way round kwenye taasisi as if a political organisation and a business organisation are managed in the same manner. Yaani inakuwa vigumu sana kukupata.

Ushauri wa bure acha kutumia hicho kilevi.

Aisee wee Happy kama huelewi uombe ueleweshwe sio unajibu kwa nyondo namna hiyo...tulioko kwenye biashara tunamuelewa vizuri sana na hii thread yake....sasa wewe naona unadhani ndio yard stick ya kuelewa mambo,hujaelewa uliza akufafanulie uelewe sio unatoa dharau,flyin cat!
 
Haya fafanua basi flying eagle.
 
Kobe kama umempata ebu tuelezee maana sisi wengine katuacha njia panda, anacho ongea is very hard to grasp.
Taasisi hipi anaongelea, chama cha walemavu (ambacho kina agenda nyengine ambazo si za faida) chama cha siasa, chama cha wafanyakazi, UWT, ni taasisi gani ambayo anaongelea hata kama sijaitaja maana taasisi yenye kusimama kama pressure group is not profit oriented na kama ikifa au ikiwa legelege ina maana tatizo sio viongozi tu bali wanachama wote walioko ndani kukubali kuona maslahi yao hayasimamiwi na wanakubali kuendeshwa na watu wasiojua wanafanya nini. I dont think that has anything to do with ujasiriamali its more of activism than aiming for profits.

Hali kadhalika taasisi binafsi yenye malengo ya kibiashara lazima hiwe na malengo na makubaliano, ndio sababu watu wanawekeana mikataba. Kama jamaa wawekezaji wanajua malengo yao ni kukua lazima kuwe na adabu ya matumizi na kujilipa, lakini kama watu wawili wamechanga kununua gari na kusumbuka kuliuza kila mtu akiamua kuchukua chake kuna kulaumiana kweli maana maelewano ya kuwekeza ilikuwa kununua gari na kuliuza. Sasa yeye anazungumzia biashara gani au taasisi gani? vinginevyo tutachukulia jumla jumla na kutuwacha wasomaji tujibunie alikuwa ana maanisha nini maana habari yenyewe imekuja kimtindo huo (guess what im trying to say) ndio maana nikasema aeleweki.

haya sasa keshasema mtaji unapokuwa mgumu, what are people supposed to do in that case, ebu niambie mtaji umeshakuwa mgumu i am thinking all the legal channels have been tried, kwenda kwenye institution za mikopo na pengine hata kwenda kukopa kwa mjomba tajiri kote kumeshindana, sasa mtu atumie akili gani tena au analaumu tu.
.Can he blame them for doing that wakati there are no options unadhani vijana waliomaliza vyuo na ambao hawana ajira wala mitaji wasipojikomba wataondoka vipi kwa sasa, nilidhani labda angesema serikali iongoze jitihada za kusaidia watu kupata mikopo au kupata ajira hili waache tabia za kujikomba yeye tayari anawalaumu watu ambao hawana options and means, wafanyaje kwa hali iliyopo in my eyes kujikomba ni profession kwa sasa ndani ya Tanzania (things have to change, the government needs to build opportunities at least for graduates for now).

From there on i was lost maana huko juu kazungumza mengine mara tu mafanikio, watu hawana mitaji hayo mafanikio ni yepi, kama hii argument ni zao la paragraph yake ya kwanza taasisi ipi anazungumzia, kama ni ya kibiashara ni ipi maana kama ni kiwanda inachukua muda watu kupata kile walichowekeza mpaka wakifilisi wenyewe in short; its more likely they would incur loses in their investments, unless labda tunazungumzia mchango wa gari na kuliuza.

How without explaining, huyu mwandishi anajiamulia vitu vipo kwa namna yake na kujipa majibu tu yakujiridhisha bila ya kufafanua, huko chini ndio kabisa hata sijui alikuwa anaongea nini.

Aache anachotumia

Mkuu Feet ,Nicholaus kaegemea kwenye issue very simple kwamba wabongo hasa wa partnerships (companies au organizations) wanapopata mafanikio kidogo wanagawana hivyo vimafanikio mpaka hela ya operations kesho yake kunakua hakuna hivyo wanakufa very fast,anasisitiza uvumilivu,kujinyima kwa hali ya juu mpaka taasisi iwe imara kuweza kujisimamia na kuhimili ushindani yenyewe ndio mnaweza atleast kula matunda...hiyo ndio concept ya nicholas,na hii ndio reality Tanzania kibiashara na kitaasisi..sasa wewe unaweka rocket science ili uonekane una ubongo..saidia mjadala kusaidia jamii tufanikiwe sio unaleta dharau namna hiyo.
 
Mkuu umekosea kugeneralise,wajasiriamali tupo.

Ofcourse sio wote,wajasiriamali serious tupo ila a very good chunk of startups zinakufa sana,na u cant believe most ni ugomvi wa maslahi wa directors,hasa kwenye ulaji,watu wanataka kula matunda hata hajaiva mzee.....wajasiriamali tuwe makini sana na partners we are taking to set up businesses or organizations.
 
Mkuu Feet ,Nicholaus kaegemea kwenye issue very simple kwamba wabongo hasa wa partnerships (companies au organizations) wanapopata mafanikio kidogo wanagawana hivyo vimafanikio mpaka hela ya operations kesho yake kunakua hakuna hivyo wanakufa very fast,anasisitiza uvumilivu,kujinyima kwa hali ya juu mpaka taasisi iwe imara kuweza kujisimamia na kuhimili ushindani yenyewe ndio mnaweza atleast kula matunda...hiyo ndio concept ya nicholas,na hii ndio reality Tanzania kibiashara na kitaasisi..sasa wewe unaweka rocket science ili uonekane una ubongo..saidia mjadala kusaidia jamii tufanikiwe sio unaleta dharau namna hiyo.
Mkuu

Kama umeona kuna dharau that was not the intention, hila kama umenisoma vizuri nilichoeleza mawazo yake hayapo specific, katumia neno biashara na watu kuchukua chao mapema nikauliza ni biashara gani au yenye malengo gani. Maana huwezi ukawa na malengo ya kuona bidhaa zako zinasambaa tanzania nzima bila ya kuwekeza ndani ya biashara unless unaingia na enough capital to be able to implement that strategy/ambition, surely hilo lazima lizingatiwe kwenye management. Lakini huwezi kuwalaumu watu ambao aim ilikuwa ni quick profiteering halafu wapotee kama makubaliano ni kutumia opportunity iliyojitokeza maana watu wanaweza kuwa hizo hela walikopa kwa ahadi za kulipa within a short time.

Wewe kama ni mfanya biashara inategemea huko kwenye level gani kuna mtu anafanya biashara nia na malengo ni kubadilisha mboga therefore kutakuwa amna ambitions za kukua so long as his goals are met. Vilevile kuna mwengine goals ni kukua hivyo you expect much savings and always looking for opportunities. Na kama ni large organisation yenye wabia wengi sidhani kama within a short space of time people would have accumulated enough wealth to even cover their investment costs. Ndio maana nikamuuliza anazungumzia biashaa gani aeleweki, ama sivyo wasomaji tutajiwekea mawazo yetu ndivyo nilivyofanya.

Na ukirudi kwenye taasisi zingine ambazo hazipo kibiashara, malengo sio hela bali kufanikisha maslahi ya kijamii na hili haliwezi fuga watu wenye maslahi unless aseme kuna watu wapo seh emu hizo kwa sababu za kujitajirisha kutokana na opportunities za kifedha wanazopewa kujiendesha na kuona malengo yao yanafanikiwa then he would have make sense. Kwa sababu mafanikio ya taasisi ambayo hayapo kibiashara ni kuona wahusika wanaotetewa au wanaopewa hiyo service wanafaidika sio viongozi wa juu, yeye hili analiangalia sijui na habari za kujibanza na kusubiri mafanikio hizo argument zinafit vipi in a political organisation, pressure groups or charities ndio maana nikasema ajui anasema nini.

Vilevile anaunganisha model za kuongoza vyama vya siasa and other non profitable organisation into a single argument na za kibiashara, for me i was lost; not that it didnt make sense at all but his argument raised more question than what he was presenting, whereby by msomaji anatakiwa apate majibu wakati mtu anapotoa hoja.

Halafu in case you were not aware hii thread imetolewa jukwaa la siasa kuja huku, kwa hivyo argument yangu ilijikita kijukwaa lile.
 
niko we unafikiri kwa nini wabongo waoga kuanzisha kitu nawakati huohuo kimbelembele kuvuna matunda?. inawezekana ujamaa umechangia?

ujambaa ni ushetani..kwa vile watu wanatumikishwa sana,wakati wengine wanaweza tegea kazi ila ktk mavuno wao ndio huja kugawa kwa gia ya serikali,uongozi etc..wanaonyonywa hupelekwa kuamini serikali ni kila kitu(NI mUngu kwa ujumla).Utakuta hata mchezaji mwenye kipaji kapewa nafasi ya kucheza na timu kubwa,anapata tena nafsi ya kucheza na timu za nje...anashindwa jiuza....halafu unamkmuta akililia serikali....kwa kutombeba .Mjasiria mali analilia serikali kwa kumzuia...wajamaa wanaamubudu serikali na kiongozi wake mkuu,wengine wanajiamini wao ,halafu wengine wanaweza mwabudu Mungu wengine wajuacho ila wao wenyewe ndio hujiamini na kujiona ndio wanapaswa fanya kitu wakitakacho.
 
Mkuu umekosea kugeneralise,wajasiriamali tupo.

Mpo lakini mlivuka vikwazo nilivyosema.Ni wachache mlijiimarisha wenyewe(km mtu binafsi), au mlibahatika kuwa na timu iliyoshikiliwa na vitu vingine(mfano mahusiano yakiwa ni client-customer,mfano kila mtu ana mchango unique na hakuna mbadala,wengine mna viapo vya imani, wengine business yenu itamiwa na boss ambaye hana mbadala wenu,wengine mafanikio yakawa yanakuja kwa timing inayowafanya zidi kuwa pamoja)hadi kufanikiwa.Ila wengi huanza kinzana mwanzo tuu....kabla ya dili ya kwanza,dili ya kwanza tuu ikitoka ndio bye bye.
 
Mkuu

Kama umeona kuna dharau that was not the intention, hila kama umenisoma vizuri nilichoeleza mawazo yake hayapo specific, katumia neno biashara na watu kuchukua chao mapema nikauliza ni biashara gani au yenye malengo gani. Maana huwezi ukawa na malengo ya kuona bidhaa zako zinasambaa tanzania nzima bila ya kuwekeza ndani ya biashara unless unaingia na enough capital to be able to implement that strategy/ambition, surely hilo lazima lizingatiwe kwenye management. Lakini huwezi kuwalaumu watu ambao aim ilikuwa ni quick profiteering halafu wapotee kama makubaliano ni kutumia opportunity iliyojitokeza maana watu wanaweza kuwa hizo hela walikopa kwa ahadi za kulipa within a short time.

Wewe kama ni mfanya biashara inategemea huko kwenye level gani kuna mtu anafanya biashara nia na malengo ni kubadilisha mboga therefore kutakuwa amna ambitions za kukua so long as his goals are met. Vilevile kuna mwengine goals ni kukua hivyo you expect much savings and always looking for opportunities. Na kama ni large organisation yenye wabia wengi sidhani kama within a short space of time people would have accumulated enough wealth to even cover their investment costs. Ndio maana nikamuuliza anazungumzia biashaa gani aeleweki, ama sivyo wasomaji tutajiwekea mawazo yetu ndivyo nilivyofanya.

Na ukirudi kwenye taasisi zingine ambazo hazipo kibiashara, malengo sio hela bali kufanikisha maslahi ya kijamii na hili haliwezi fuga watu wenye maslahi unless aseme kuna watu wapo seh emu hizo kwa sababu za kujitajirisha kutokana na opportunities za kifedha wanazopewa kujiendesha na kuona malengo yao yanafanikiwa then he would have make sense. Kwa sababu mafanikio ya taasisi ambayo hayapo kibiashara ni kuona wahusika wanaotetewa au wanaopewa hiyo service wanafaidika sio viongozi wa juu, yeye hili analiangalia sijui na habari za kujibanza na kusubiri mafanikio hizo argument zinafit vipi in a political organisation, pressure groups or charities ndio maana nikasema ajui anasema nini.

Vilevile anaunganisha model za kuongoza vyama vya siasa and other non profitable organisation into a single argument na za kibiashara, for me i was lost; not that it didnt make sense at all but his argument raised more question than what he was presenting, whereby by msomaji anatakiwa apate majibu wakati mtu anapotoa hoja.

Halafu in case you were not aware hii thread imetolewa jukwaa la siasa kuja huku, kwa hivyo argument yangu ilijikita kijukwaa lile.

yote uliyosema yana mifano hai: siasa,NGO, soka,music,..movies,vikundi vya maigizo, ujasiriamli wa aina zote pia.Km ni biashara hata miradi mingine ina principal za biashara.....kuna results ambazo zinapaswa kuwa ktk +VE scale.Inaitwa profit ambayo si lazima iwe hela.Hiyo profit ina determine rewards ambayo ndiyo watu huweka igombea,km nguruwe na kumwaga yote (kukosa wote),au wakae chini wapande jinsi ya kugawana au kuendelea ongeza ili wazidi fanikiwa kila siku kwa maisha yao ya uwekezekaji huo.

Sioni kwanini uamue jichanganya na kuendelea jiaminisha kwa kiasi cha kufanya haya..
 
yote uliyosema yana mifano hai: siasa,NGO, ujasiriamli wa iana zote pia.Km ni biashara hata miradi mingine ina principal za biashara.....kuna results ambazo zinapaswa kuwa ktk +VE scale.Inaitwa profit ambayo si lazima iwe hela.Hiyo profit ina determine rewards ambayo ndiyo watu huweka igombea,km nguruwe na kumwaga yote (kukosa wote),au wakae chini wapande jinsi ya kugawana au kuendelea ongeza ili wazidi fanikiwa kila siku kwa maisha yao ya uwekezekaji huo.
Nope, biashara aim is to make profit na watu wanaweka hela zao. Hivyo ni lazima watu wahakikishe hela zao walizoweka zinarudi na faida. In other words biashara ikifa ni hasara kwa mwekezaji kuna mambo mengi ya kuzingatia mfano: washindani, risk, ushuru, soko, aina ya wateja na mengineo, hivyo mwekezaji akiona mbele sio kuzuri anaweza ona bora achukue chake inategemea na makubaliano ya awali na nani mwenye sauti.

Upande wa activism hakuna vitu kama hivyo kwa hiyo management doest have to worry about that kwa hivyo principles za biashara haziwezi kuwa sawa na za chama cha siasa wala strategies haziwezi lingana, mafanikio ya activism ni kuona sera zinabadilishwa largely or measures taken to help the cause, i dont see how viongozi wake wanaweza gawana mafanikio hayo.

Mkuu leo jumapili umeanza kinywaji mapema nini, acha sio kizuri kwako.
 
Back
Top Bottom