Sasa naona unaanza kukana maandishi yako wakati wewe ndio uliosema people loose patients once income is being generated, mara unaona sio issue tena na watu wamekuja wanasema wanakutetea na wamekuelewa (i'm thinking their dissapointed na kauli yako mpya maana wengine walijenga premise za kukutetea kufuatia mistari hiyo), sasa kwanini people are impatience kama unavyodai kama hela sio issue tena.
Nadhani hujaona wapi nimekujibu....neno enterpreneurship-Ujasiriamali...Nadhani hukujielewa ulipotumia hilo neno..miminikaongezea Social ili akili yako ya hela Finance ijitambue.
..NGO nyingi zina ugonvi kwa taarifa yako.Hata km Zinafanya kazi isiyoingiza hela au material..basi watu hugombea grants,kms i grant sifa inayokuja kutoka ktk jamii..km matokeo ya kazi nzuri nayo pia ni the desire product is ready.\
hata kwa vitu vilivyokiwsha pita watu wnaagombea nani alifanya zaidi na heshima gani na kwa kiasi gani apewe.
Sijui unasoma vitabu gani, how is that practical in modern world, where policies influence many things and their costs of production country by country with global village how can you practice that au unadhani kwanini despite all the existing currency dola ikafanywa ndio currency ya kibiashara, halafu wewe unazungumzia complication za barter trade dunia ya leo.
Practicanility inategemea na jamii, na situation..hata baba yako nyumbani kukulisha nyama na kukupeleka shule kuna kipidni inaweza kuwa si priority km mambo yanabana vizuri.Wawekezaji nao wanaweza wasiweweke efforts sana km kuwatunza wana jamii na kuwasomesha kutaishia mfaidisha cometotors wake ambaye hayupo tayari kuchangia.
pengine hutakiwa amini hili ila kuna mikoa ilikuw an wafanya bishara waliokuwa wanaleta bidhaa mjini na kuwauzia wana kijiji hadi kuwamalizia hela zao zote,halafu pia wakakuta kijiji hakina nguvu kazi kabisa ya kufanya kazi zake.wengi huwafundisha kazi vyema bila malipo ili baadaye wawajiri...na kuwalipa pia.wengine huanzisha biashara ya mazao ili wanakijiji walete mazao..na wengine huwalipia hata watoto wa shule kw akutenga fungu kabisa....hii ni biashara..kwani baadaye hao waliosomesha watatumika ktk uzalishaji mzuri,na wengine watakwenda leta hele nje ya eneo na kuja zitumia ktk hao wawekezaji.
Same kwa barabara...
Hapo bado sijui mzalishaji atatumia vipimo vipi economically kujua where to stop producing maana kwa sasa unajua watu hawana au wanazo kutokana na ajira zilizopo na mapato, under your idea ina maana wafanya biashara nao lazima waakikishe there is enough of their preferred desired exchanged good for them to plan their production, considering a variety of goods and services available sijui hilo swala unalimonitor vipi kama mfanyabiashara hili kupanga strategy zako (complicated issue for you, lets just leave that)
sikuelewi hapa....naona unatumia terminologies km ZITTO halafu unadhani umesolve au kueleza kitu.....wewe ukifnaya bishara hujui kupima mafanikio yako?Au ukianzisha NGO hujui mafanikio yako na wapi utaridhishwa?
Amna anae bishia hilo, lakini kila risk ina precautions measures zake kama mzazi ana nafasi ya kuchagua mkunga na daktari aga khan, to minimise the risk you know where her option would be, halikadhalika wenye kutaka kumuona mungu lazima waingie nyumba za ibada. Ingawa zote ni measurement za ku minimise risks, nevertheless the actions differ. Sasa waliopo kwenye taasisi ambazo zina malengo ya pressure groups na wafanyabiashara iweje wanamalengo sawa fafanua acha longolongo zako na hadithi mingi ambazo ujui hata unaongea nini as you open up.
Haha..nikusaidie tuu..wengi wa wanaokuja gombea faida ni wale ambao walikuwa wanaona ni too risk kuacha kazi, au ni too risk kuonekana na hawa watu ,au ni aibu sana kuonekana ktk office ndogo km hii, au hawakupenda sana weka etxra time na effort au resources ili kufanikisha..hao ndio sensitive sana kwa kiasi na hivyo mafanikio yanyoweza wafanya wasiote tena shida walizokuw awakiziogopa basi huona sasa kw ahadhi yao walipaswa kutangazia uma kuwa ni mali yao,bila hawa viwingu ambao wanaweza waita kuwa walikua vibarua tuu.
Nimekwambia acha tabia ya kujiuliza na kujithibitishia mwenyewe kama ulivyofanya kwenye main topic ya thread yako, where did i imply moral values in my argument.
In case you dont hilo ni zao la activism ndio maana nikakwambia kwenye taasisi iliyojikita hivyo faida zinaelekea kwa wanaopiginiwa na taasisi ya kibiashara maslahi ni kwa internal stakeholders (ingawa hata sijui hiyo point imeingia vipi with theargument at hand)
naona unaamua mahali pa mutual benefits unaamua kuangali material benefits tuu..?Hivi unajua mataifa yanatoa misaada..ili wasipate hels ila diplomasia tuu,ili kuunguza uhalifu ambao baaaye unakuja wadhuru na kuwapa hasara...?hivi unajua wengine wanatoa misaada ili kutua mizigo,wengine wantoa ili kupata faida wanayoithamini ..THAWABU kwa Mungu wao...wengine wanafanya ili kupata satisfaction..wengine wapate PRIDE.wangine wapate nafsi ya kupata POWER NA RESPECT..?wengine hawana kazi,wala pa kupunguza hela kwa hiyo wanafanya hivyo ili kuwa na cha kufanya......hembu fungua akili kidogo ili tuende pamoja.
Mfanyabiashara kamwe apiganii maslahi ya mteja ungesema ni opportunity argued as of mutual benefit as the father of exploitative 'Adam Smith' put it labda, lakini usichanganye madawa results seeked by activism are different of that of an entrepreneur, one exists to see improvement of the their cause, while the other offers her services/goods in return for your money. Different risks play apart, different motives pushes.
Me out you dont know what you are talking about.
Haha....si kweli ..ktk ethical business hakuna hilo..mfanyabishara anatafuta mazimum profit....akijua mteja anatafuta minimum..so atajaribu pushi hadi pale mteja atakopishia kuwa willingi kununua,na mteja anapambana hadi afike pale muuzaji anakuwa willing kuuza..hapo ndipo inakuwa marekt price.Km hapakuwa na hila au mashinikizo ya kufikia hapo ni halali.Na si jukumu pekee la Mfanyabishara ingawa ni mdau.
Sasa kwanini unalazimisha kuwa kupigania mteja sio biashara......kwa taarifa yako wafanyabishara wanajiyuma sana kulinda wateja wao.km si vita hujitahidi sana kuwapa afya njema ili hata wasife.