Tanzania haipo kwenye mpango wa 2025 wa internet ya StarLink ya Elon Musk; zipo nchi mbili za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Ni nchi 4 tu za Afrika zitaongezwa kwenye huduma ya internet ya kisasa zaidi duniani inayotumia satellaite kurusha data moja kwa moja kwa mtumiaji.

Katika mpango wa usambazaji wa huduma hii ya kisasa kabisa zipo DRC na Uganda pekee utoka E.A. ambazo zinaungana na Kenya na Rwanda kupata huduma hii. Starlink expands to 4 new markets in 5 days.
 
HUKU WAMILIKI YA HYO MITANDAO S NDO HAO WANAOTUONGOZA HAWAWEZI KUBALI KUPATA HASARA, TUTAKAMULIWA HADI MAJI KAMA MAZIWA YATAISHA
 
Lakini official website ya Starlink inaonyesha Tanzania ipo kwenye phase ya kwanza ya 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…