Tanzania haishikiki tena katika utalii, yaipita Kenya kwa mbali

Tanzania haishikiki tena katika utalii, yaipita Kenya kwa mbali

Hivi hawa ma Tycoon wa utalii Tanzania , wanashindwa kununua basi mpaka nchi inapata aibu kwa Yanga kwenda kukodi basi la kitalii kwa ajili ya kusherekea ubingwa?
 
Kwa hivyo World Bank na IMF ni wajinga?
Niliwahi kukuambia, za kuambiwa, changanya na zako. Nyie mna watu kibao wako hatarini kufa na njaa, (even before Russia started to kick Ukraine) and no one can tell what the situation will be in kenya in this food crisis which is apparently striking the world.
Achana na ujinga wa wbg na imf, siyo kila report wanayotoa wazungu basi unapaswa kuimeza kama ilivyo. Shirikisha akili yako kuelewa uhalisia wa jambo. Mfano hivi majuzi, wazungu wametoa taarifa kwamba nchi ya Libya ina watu wenye furaha sasa kuliko kipindi cha Ghadaf. Halafu pia ina furaha zaidi ya nchi nyingi za kiAfrika ambazo hazina mizozo na serikali imara. Eti Libya, pango la wanyang'anyi, njia huru kwa wasafirisha watu kimagendo, ambayo kila mtaa una serikali yake, ambapo ukienda mtaa huo wanaweza kukufanya lolote, watu wake wana furaha. Kweli acha mabeberu yaitwe mabeberu.
 
Mkuu ujio wa watalii wengi sio kwasababu ya Royal tour bali hii ni high season, kuhusu Tz kuamka ni kweli imeamka na aliyetuamsha nadhani anajulikana wala hakuna haja ya kumtaja.
Royal tour imeongeza wageni kama hautaki kukubali hilo basi itakua ni ujeuri wako tu
 
Back
Top Bottom