Niliwahi kukuambia, za kuambiwa, changanya na zako. Nyie mna watu kibao wako hatarini kufa na njaa, (even before Russia started to kick Ukraine) and no one can tell what the situation will be in kenya in this food crisis which is apparently striking the world.Kwa hivyo World Bank na IMF ni wajinga?
Royal tour imeongeza wageni kama hautaki kukubali hilo basi itakua ni ujeuri wako tuMkuu ujio wa watalii wengi sio kwasababu ya Royal tour bali hii ni high season, kuhusu Tz kuamka ni kweli imeamka na aliyetuamsha nadhani anajulikana wala hakuna haja ya kumtaja.