Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hamna wakati mwingine ambao Tanzania inahitaji DRC iliyotulia kama ilivyo Sasa !!
RWANDA ni ka Nchi kadogo sana, Ambako kana maeneo machache ya kimkakati linapokuja suala la uchumi , wako limited katika Resources .
Ndio Sababu Kagame Palipo na Migogoro anajitahidi kujiingiza na kusaini mikataba ya kudumu. Ni nani anajua hapo Msumbiji Rwanda atakaa miaka mingapi?.
Embu ifikirie Rwanda yenye ushawishi na base za kijeshi na silaha nzito nchini Msumbiji, Uganda, DRC, Rwanda , Burundi , Tutatoboa?
Kagame Kwa Rwanda, anazuga tu Kupambana na FDLR ,ila lengo ni Utajiri wa DRC, Dhahabu , Cobalt, Tantalam, Tin , Coltan , madini muhimu sana katika Teknolojia za kisasa hapa Duniani.
Kwa Kujua Udhaifu Mkubwa wa Jeshi la Kongo ambalo limezidi kuangamiziwa Kwa Rushwa, Ukosefu wa mishahara , Uwekezaji Mdogo wa Jeshi , M23 hawatoweza kuishia mashariki ya DRC , Ngoma itaenda tu mpaka Kinshasa , Ndoto ya Kagame ni kutumia Minority Kuitawala DRC na akifanikiwa hili basi Tanzania matatizo yataanza.
Tanzania kupitia JWTZ ni lazima ihakikishe Rwanda haipati nafasi ya kukaa mashariki ya DRC na hata kuikali DRC kwa ujumla.
KIUCHUMI, NI LAZIMA Kumfanya Rwanda aendelee kua Mtegemezi wetu , Kuruhusu Rwanda ikae DRC maana yake ni kuruhusu Biashara ya Madini Kati ya Ulaya/Marekani na Rwanda , naongezeko lolote la Biashara ya Madini Kwa uwazi Kati ya Mataifa hayo na Rwanda, maana yake kunaenda kufungua Fursa nyingi sana Nchini Rwanda, na Ni hizo Fursa ndizo zinazoenda kufubaza Maendeleo ya Nchi yetu.
KIUSALAMA, Rwanda Ndani ya DRC kama ambavyo amekua na Tamaa na lugha mbaya juu ya Taifa letu, maana yake ni kua ataendeleza Chokochoko tu ambazo tutahitajika Kupambana na Rwanda katika 3 fronts Kusini kutokea Msumbiji, DRC Rwanda, sahizi ana Ndugu yake Uganda , Burundi ndo kabisa !, Kagame hashindwi kuanziasha Vikundi vya waasi .
JWTZ ni lazima wahakikishe wanampiga m23 na kumuondoa kabisa mashariki ya DRC, wasiruhusu Rwanda watumie utajiri wa DRC kujiimarisha kijeshi na kuimarisha uwezo wao wa kijeshi ndani ya drc, utajiri wa DRCmikononi mwa rwanda maana yake ni kuruhusu rwanda kujitanua na kutengeneza vikundi vya waasi wenye uwezo mkubwa wa kijeshi ,endapo Rwanda atalifanikisha hilo, basi tanzania tutakua tumepoteza uhuru wetu tulionao kijeshi kwa afrika mashariki nzima.
Ukijiuliza kwanini Israel anapambana sana kuhakikisha mashariki ya Kati hamna mwenye Nguvu zaidi yake KIJESHI, basi utakubali kua Kwa ajili ya manufaa ya muda mrefu, hamna Taifa zaidi ya Tanzania linalotakiwa kua na Nguvu .
Kagame apigwe, na azuiwe, ikiwezekana apelekewe vita nchini kwake, Rwanda ni ndogo sana, uchumi wake ukivurugwa ,itamchukua miaka na miaka kujijenga upya, tofauti na sisi Tanzania tulio na taifa kubwa na lenye utajiri mwingi.
Rwanda APIGWE, M23 apigwe!!.