Ni mijoga kwa sababu wenyewe si wasafi - hapa ndio tunaona thamani ya Mwalimu kwani asingekaa kimya.
Kwa Muungwana tumepoteza kila kitu hata ile sifa ya Tanzania katika kutetea uhuru na haki ya wanadamu wengine duniani.
Ndo maana alikuwa na nguvu ya kuwaambia kuwa aliye msafi na amwambie kuwa uchaguzi wa zimbabwe haukuwa huru na wa haki, walipokutana nae wakakaa kimya halafu wanawatumia mawaziri wao kumsema kwanini hawakumwambia direct wakati wako misri ana kwa ana.
Angewakolomea sana na ndo maana hata Odinga alipojalibu kuomba umoja wa mataifa waingilie aliulizwa wakati wewe unaibiwa kura kwenu kenya umoja wa mataifa walikuwa wapi mbona hukupewa ushindi wako au na wewe ulishindwa ila ukawa unaleta vurugu tu. The the man stayed quite.