Tanzania bila kuweka nchi kwanza na kuweka mfumo ambao sio wa kinafiki au wakifamilia tulionao sasa hatutatoka hapa tulipo.
Siasa za kuwapa Uwaziri ndugu wa wanasiasa na mifumo ya kufikiri Polisi ndiyo wataleta amani nchini na sio mifumo tutabaki na matabaka na tunaenda kwenye mapigano ya jamii ambayo ndiyo tunaona mwanzo wake.
Haya maziwa yanachemka na ni muda tu yatafurumia na inavyo onekana yameshaanza kufurumia. Harakati za demokrasia sasa zinaenda kwa vijana zaidi na hawataweza kuzuilika kwa ukandamizaji bali kwa sera na katiba nzuri ya nchi.
Bila Demokrasia Tanzania hatutoki hapa na vurugu zetu zitapunguza wageni, uwekezaji na hayo yataongeza matatizo badala ya kupunguza. suluhu ni mifumo bora.
Watanzania tuache mtindo wa kurikirisha bila uhalisia. Mfano kila siku Poilisi wakitaka kusitisha mikutano ya upinzani wanasingizia vurugu ambazo hazijawahi kutokea na hazina ushahidi wowote.