Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa.........
Hakuna Amani tena!!
Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!!
Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa.........
Hakuna Amani tena!!
Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!!
Ndio unajua leo,mkuu.Mbona siku nyingi tu.Kuna aina mbili za Amani.POSITIVE PEACE & NEGATIVE PEACE.TANZANIA NI NEGATIVE PEACE!Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa.........
Hakuna Amani tena!!
Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!!
Ndio unajua leo,mkuu.Mbona siku nyingi tu.Kuna aina mbili za Amani.POSITIVE PEACE & NEGATIVE PEACE.TANZANIA NI NEGATIVE PEACE!
Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa.........
Hakuna Amani tena!!
Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!!
What He saidLakini hawa viongozi wetu kweli hamnazo. Tangu lini Amani ikatafutwa kwa vitisho!!!!!. Wanadhani watanzania wa sasa ni wajinga au waoga kiasi gani!!.
JK ajiuzuru sasa.