Tanzania hakuna anejua kuimba ila wengi wasanii tu

Tanzania hakuna anejua kuimba ila wengi wasanii tu

chongoe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,183
Reaction score
2,871
Habari zenu wana jf, tuende kwenye mada ,ninachogundua wengi wa watanzania hasa sisi mashabiki ,uimbaji hatujui wala anaeimba hatumjui ,ila ushabiki wetu ,ndio hufanya watu waimbaji, tanzania kuna wasanii ,tu, kwanza kanuni za kuimba, inatakiwa, ni lazima ,msanii anaetaka kuimba ,atambue, ala na majina ya sauti, aina saba, pili hatuna mifumo ambayo tutapata muimbaji wa kweli, kilichokuwepo bongo ,ni kutest ,tu na ndio maana wengi wa wasanii ,hawawazi ,albamu ,wanawaza ngoma tu , wasanii wakubwa watanzania wanabebwa ,na ushabiki na kufatisha vina ,na sio kuimba, afadhali , kwa tanzania kwa hawa vijana, afadhali juma _mpogo ,kasim mganga, na nuruel ,mtazamo wangu tu
 
61611465_167622940941635_406438050275055575_n.jpg
 
NAjua kuimba pia kanuni za kuimba na uandishi
Wewe unajua kuimba? Au umesomea mziki?
Unamaanisha kwamba ni ngumu kukosoa kitu ambacho hata wewe haukijui.
 
Tupia masongi yako hapa kamavipi,
Kama unajua mbona utapata na dem mkali humu.
 
Sijashawishika kuimba kwa kwakweli ila natoa msaada kwa watu mbali mbali huwapa wimbo au mashairi ya wimbo ,
wewe unaejua kuimba tupe mifano ya kazi zako, bila shaka tutakuwa tumezisikia sana kwa sababu wewe ni mtaalamu
 
Mimi nawaelekeza watu uimbaji , makuwapa ,.mashairi, na sifanyii dhiki ,nampa mtu bure ,akajaribu ,maisha yake ,mwisho wangu MTU .ampa nyimbo tatu
Tupia masongi yako hapa kamavipi,
Kama unajua mbona utapata na dem mkali humu.
 
We mwenyewe kuandika tu hujui, angalia ulivyojaza comma mwanzo mwisho bila sababu yoyote.
 
Umesema kuandika na kuimba unajua,Lakini mbona hapo juu inaonesha hata kusoma vizuri hujui.
 
Pia Tanzania tuna watu wengi wasiojua kuandika angalieni mwandiko wa huyu mtoa uzi.
 
Back
Top Bottom