chongoe
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,183
- 2,871
Habari zenu wana jf, tuende kwenye mada ,ninachogundua wengi wa watanzania hasa sisi mashabiki ,uimbaji hatujui wala anaeimba hatumjui ,ila ushabiki wetu ,ndio hufanya watu waimbaji, tanzania kuna wasanii ,tu, kwanza kanuni za kuimba, inatakiwa, ni lazima ,msanii anaetaka kuimba ,atambue, ala na majina ya sauti, aina saba, pili hatuna mifumo ambayo tutapata muimbaji wa kweli, kilichokuwepo bongo ,ni kutest ,tu na ndio maana wengi wa wasanii ,hawawazi ,albamu ,wanawaza ngoma tu , wasanii wakubwa watanzania wanabebwa ,na ushabiki na kufatisha vina ,na sio kuimba, afadhali , kwa tanzania kwa hawa vijana, afadhali juma _mpogo ,kasim mganga, na nuruel ,mtazamo wangu tu