Jipe moyoCDM inawakosesha usingizi sana, tunafurahi...peoples.....!
Akili ni nywele kila mtu anazake, zako zinakutuma kupinga hata jabo zuri ni zako tuWatanzania wengi wanaishi kwa matukio.Hawana akili ya kujitegemea na ndio maana hata mtoa mada leo kwa tulio la leo amepata mada.Lisingekuwa tukio angekaa kimya.Kuna shida kwenye mfumo wa elimu yetu.Tuna vilaza wengi kuliko tunavyodhani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe ndo Rais akatokea muhuni akawadanganya wananchi wakampigia kura na kwa uwezo wako unafaham kabisa wananchi watajuta badae hili jamaa ni jizi, vipi utalikabidhi nchi?Wenye uwezo wa kuamua hivyo ni WAPIGA kura kwenye Uchaguzi huru na wa haki chini ya tume huru ya Uchaguzi. Kama Watanzania wanaona kwamba hakuna chama cha upinzani chenye kustahili kukabidhiwa nchi basi wataamua hivyo.
Jipe moyo
ACT chama cha Zito, CUF chama Lipumba, CHADEMA chama cha Mbowe, NCCR chama cha Mbatia nk. sioni chama cha upinzani hata akichaguliwa rais anaweza kupigwa makofi na mwenyekiti au kufukuzwa chama.
Mtazamo wangu baada ya uchaguzi 2020 kiongozi na mmiliki wa chama kimoja wapo aachie chama kiwe cha wananchi, chama kijengwe na mfumo kama ilivyo CCM, mtanzania mwenyewe sifa aweze kuwa mwenyekiti.
Watanzania niwapole na wastaarabu sana siasa za kibabe zitupiliwe mbali zifanywe siasa za kistaarabu kwa kutumia akili nyingi kuliko ubabe maana kukunja ngumi kwa panga atakae umia ni alokunja ngumi.
Nimtazamo wangu tu.
Akili ni nywele kila mtu anazake, zako zinakutuma kupinga hata jabo zuri ni zako tu
Kafagie lumumbaAkili ni nywele kila mtu anazake, zako zinakutuma kupinga hata jabo zuri ni zako tu
Kama wewe ndo Rais akatokea muhuni akawadanganya wananchi wakampigia kura na kwa uwezo wako unafaham kabisa wananchi watajuta badae hili jamaa ni jizi, vipi utalikabidhi nchi?
Mmeanza mipango?Nccr mageuzi wapo tofauti wanaweza kuwa chama cha upinzani
Ila hao wengine hakuna kitu
Kama wewe ndo Rais akatokea muhuni akawadanganya wananchi wakampigia kura na kwa uwezo wako unafaham kabisa wananchi watajuta badae hili jamaa ni jizi, vipi utalikabidhi nchi?
Wenye mbwa wanaelewa mbona?Jipe moyo
TLP cha Mrema, UDP cha Cheyo, UPDP cha Dovutwa, CHAUMA cha Rungwe,ACT chama cha Zito, CUF chama Lipumba, CHADEMA chama cha Mbowe, NCCR chama cha Mbatia nk. sioni chama cha upinzani hata akichaguliwa rais anaweza kupigwa makofi na mwenyekiti au kufukuzwa chama.
Mtazamo wangu baada ya uchaguzi 2020 kiongozi na mmiliki wa chama kimoja wapo aachie chama kiwe cha wananchi, chama kijengwe na mfumo kama ilivyo CCM, mtanzania mwenyewe sifa aweze kuwa mwenyekiti.
Watanzania niwapole na wastaarabu sana siasa za kibabe zitupiliwe mbali zifanywe siasa za kistaarabu kwa kutumia akili nyingi kuliko ubabe maana kukunja ngumi kwa panga atakae umia ni alokunja ngumi.
Nimtazamo wangu tu.
Mkuu Kiki Kileo, naunga mkono hoja,ACT chama cha Zito, CUF chama Lipumba, CHADEMA chama cha Mbowe, NCCR chama cha Mbatia nk. sioni chama cha upinzani hata akichaguliwa rais anaweza kupigwa makofi na mwenyekiti au kufukuzwa chama.
Mtazamo wangu baada ya uchaguzi 2020 kiongozi na mmiliki wa chama kimoja wapo aachie chama kiwe cha wananchi, chama kijengwe na mfumo kama ilivyo CCM, mtanzania mwenyewe sifa aweze kuwa mwenyekiti.
Watanzania niwapole na wastaarabu sana siasa za kibabe zitupiliwe mbali zifanywe siasa za kistaarabu kwa kutumia akili nyingi kuliko ubabe maana kukunja ngumi kwa panga atakae umia ni alokunja ngumi.
Nimtazamo wangu tu.
Naunga mkono hoja
P