kweli uongo haudumu kama vile wewe ulivonidanganya kuna mchongo wa kubeba utumbo saa nane usku kule machinjion kumbe fix tupuMama Samia amesema hawezi kupandisha mishahara kutokana uchumi kuyumba kutokana na ugonjwa wa Corona...
Huyo mbuzi hawezi kujua hayo.Uchumi wa dunia ukiyumba lazima uchumi wa Tanzania nao utaathirika! Inahitaji elimu ya degree kuelewa??
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Aisee, nasikitika kusema ww ni zero brain kabisaMama Samia amesema hawezi kupandisha mishahara kutokana uchumi kuyumba kutokana na ugonjwa wa Corona...
Mwendazake alituaminisha sisi ni dona kantri... alitoa misaada Zimbabwe huku wana Kagera wakitaabika!! Tanzania sio kisiwa...Huyo mbuzi hawezi kujua hayo.
Marehemu dikiteta magufuli alikuwa mwongo sana
Kagera wanahitaji misaada ipi! Chakula, mavazi au misaada gani hasa! Kagera ni donor region since time immemorial.Mwendazake alituaminisha sisi ni dona kantri... alitoa misaada Zimbabwe huku wana Kagera wakitaabika!! Tanzania sio kisiwa...
Unakumbuka kauli za Magofool mwenye PhD?Uchumi wa dunia ukiyumba lazima uchumi wa Tanzania nao utaathirika! Inahitaji elimu ya degree kuelewa??
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Nimeandika kuwakumbusha CCM, Samia na marehemu Magofool kuwa uongo haudumu.Aisee,, nasikitika kusema ww ni zero brain kabisa
Yaani unashindwa kuoanisha kuathirika kwa mataifa mengine kunavyoligharimu pía Taifa letu!??
Hujui kuwa kuna baadhi ya Raia wa nchi jirani huwa wanakuja nchini kufanya biashara lakn pindi nchi zao zilipoweka lockdown ikawawia vigumu kutoka!??
Hujui kuwa sekta ya utalii nchini kwetu inachangia %ge ktk budget na imeathirika kwa namna gani kutokana na hili janga!???
Nilitaman kukuuliza majuzi hili nikaamua nifanye yangukweli uongo haudumu kama vile wewe ulivonidanganya kuna mchongo wa kubeba utumbo saa nane usku kule machinjion kumbe fix tupu