SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,038
- 8,929
Mama Samia amesema hawezi kupandisha mishahara kutokana uchumi kuyumba kutokana na ugonjwa wa Corona.
Tangu mwaka jana serikali ambayo yeye alikuwa Makamu wa Rais ilituaminisha kuwa Tanzania hamna Corona na uchumi wenu hautegemei mabeberu, yaache yafe na Corona sisi tumemuweka Mungu Mbereee.
Sasa mbona leo kiswahili kimebadilika?
SOMO: UONGO HAUDUMU.