Kamwili kembambaa ila ni moja namba...
Yoh yoh wapi unakwenda, hebu njoo now put your hands up
Hapana kukaa man, come on now stand up
Tumble away, haha haha danger
Ni ngoma kali, mwenyewe naipenda, naila denda,
Beat inakutega ha! kama duka la mpemba
Rusha mikono man, rusha na miguu ukipenda
Mkanda ukikatika amini ipo suspender
And I like the way wakija, I like the way hata wakienda
Hata wakivaa kanga, kanga bado wananibamba
Nakuwa mkubwa, kama kidole kidole gumba
Kamwili kembamba, ila mi ni namba. (Kubwa)
Mmmh mmh eh mshamba
Kamuulize Anorld mwadai komando mwamba
Yoh man wats up, whats up come on hands up
Mi wa kigambo.ni, ingawa gamba sijaenda
No usiondoke, come back put your hands up... Jos Mtamboo huyo