Tanzania hakuna kama Jose Mtambo

Tanzania hakuna kama Jose Mtambo

Walikuepo mtu kama Nigga one na bitozi D Rob na Chief Ramso na wale mabishoo wa tambaza i mean Diplomat,Jose mtambo kaanza kusikika 1995 mwishoni kwenye matamasha ya shule na zile beach part concerts ila flow zake kamuiga vitu vingi jamaa mmoja anaitwa kama sikosei Othman Njaidi msanii wa kwanza bongo kurekodi wimbo wa rap.Nazungumzia 1989 up to 1996 hapo katikati kuna marapa walikua na flow za ajabu,wengine nimewasahau sababu hawakufanikiwa kurekodi enzi za matamasha ya shule na beach party,wakali walikuepo kabla ya jose mtambo.Ila kibongo bongo D Rob na Nigga one na Chief Ramso na Diplomat crew kwa flow hawana mpinzani mpaka leo.
 
Back
Top Bottom