Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Tanzania mpira unachezwa mdomoni.Haiwezekani hata kombe dogo tu hili tunakosa
Ivi mpira wa Tanzania mbona haubadiliki miaka yote
Tunakwama wapi ?
Nani ameturoga yaani wachezaji hawana ubunifu kabisa aise ..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji wengi wa Simba ni wa kigeni, labda wakitua bongo na mpira unakwishaHaiwezekani hata kombe dogo tu hili tunakosa
Ivi mpira wa Tanzania mbona haubadiliki miaka yote
Tunakwama wapi ?
Nani ameturoga yaani wachezaji hawana ubunifu kabisa aise ..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira wa ukubwani huuMimi ndo maana hata sishabikiagi ligi ya kipuuzi ya bongo, hata uniambie nitaje wachezaji watano kutoka simba au yanga siwajui. Naskiaga tuu mara sjui Ajibu, Chama, sjui Mkude lakini hata sjui kutofautisha wanacheza timu zipi. Manchester ntakutajia wachezaji hadi wa akiba. Nawajua hadi akina Giuliano Maiorana, Ralph Milne, Ryan Giggs n.k squad hiyo ya 1990-1991 Man U. Bongo miyeyusho saana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wakija bongo wanaambukizwa uvivu na wazawaWachezaji wengi wa Simba ni wa kigeni, labda wakitua bongo na mpira unakwisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hujakosea kama vile watoto wanakimbizanaukitoka kuangalia kombe la dunia af ukaja angalia simba na yanga utaona kabisa watoto wa mtaani wanacheza chandimu ( sembo)
Na wanavyopenda ngono hivyo wataacha kweli!Kweli kabisa!
Hadi watakapoacha kutegemea ushirikina!
Hadi watakapo chukulia Mpira kuwa kazi na siyo starehe!
Hadi watakapoacha mambo kama ulevi, ngono n.k
Hadi watakapotia bidii na nidhamu ya mpira!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama ni kweli, hata huko kwa wenzetu ushabiki wa aina hii upo, tatizo kubwa kwetu hatupo serious kuwekeza kwenye mpira, tuna bahatisha bahatisha tu. Na sio mpira pekee vitu vyote nchi hii ambavyo vinaitaji planing na kutumia akili tunakwama.Mpira wetu unauliwa na ushabiki wa Simba na Yanga mkubali mkatae,nyie endeleeni tu kubishana juu ya hizo timu zenu mimi mbali mbali na huo upuuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa miaka mingi sana TFF wana programs za viongozi wa mpira kuwa wabunifu wa kujineemesha, hali kadhalika kwenye vilabu.Haiwezekani hata kombe dogo tu hili tunakosa
Ivi mpira wa Tanzania mbona haubadiliki miaka yote
Tunakwama wapi ?
Nani ameturoga yaani wachezaji hawana ubunifu kabisa aise ..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga anacheza tarehe 31 Dar, tarehe 3 tanga , 6 Singida na 9 tena Tanga ... Hapo simba hachezi tena hata mechi moja eti ana msubiri al ahly ..jamani vitujo hivi .... Anakuwa na viporo 11 ... Nao wanaona ni sawa tu.Mpira wetu unauliwa na ushabiki wa Simba na Yanga mkubali mkatae,nyie endeleeni tu kubishana juu ya hizo timu zenu mimi mbali mbali na huo upuuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Absolutely . Mkuu au tuite timu ya jeshi kama alivyosema mkuu wa nchiBora tufanye mambo mengine na mpira tucheze kwa afya tu. Labda walau tujaribu ndondi au tuwaache wamakonde wacheze na majoka na Diamond aimbe muziki.
Sent using Jamii Forums mobile app