Tanzania hakuna mpira, tunapoteza muda tu

Tanzania hakuna mpira, tunapoteza muda tu

Mimi ndo maana hata sishabikiagi ligi ya kipuuzi ya bongo, hata uniambie nitaje wachezaji watano kutoka simba au yanga siwajui. Naskiaga tuu mara sjui Ajibu, Chama, sjui Mkude lakini hata sjui kutofautisha wanacheza timu zipi. Manchester ntakutajia wachezaji hadi wa akiba. Nawajua hadi akina Giuliano Maiorana, Ralph Milne, Ryan Giggs n.k squad hiyo ya 1990-1991 Man U. Bongo miyeyusho saana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira wa ukubwani huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira wetu unauliwa na ushabiki wa Simba na Yanga mkubali mkatae,nyie endeleeni tu kubishana juu ya hizo timu zenu mimi mbali mbali na huo upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama ni kweli, hata huko kwa wenzetu ushabiki wa aina hii upo, tatizo kubwa kwetu hatupo serious kuwekeza kwenye mpira, tuna bahatisha bahatisha tu. Na sio mpira pekee vitu vyote nchi hii ambavyo vinaitaji planing na kutumia akili tunakwama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haiwezekani hata kombe dogo tu hili tunakosa

Ivi mpira wa Tanzania mbona haubadiliki miaka yote

Tunakwama wapi ?

Nani ameturoga yaani wachezaji hawana ubunifu kabisa aise ..!


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa miaka mingi sana TFF wana programs za viongozi wa mpira kuwa wabunifu wa kujineemesha, hali kadhalika kwenye vilabu.

Kwa hali hiyo tutegemee nini?
 
Mpira wetu unauliwa na ushabiki wa Simba na Yanga mkubali mkatae,nyie endeleeni tu kubishana juu ya hizo timu zenu mimi mbali mbali na huo upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga anacheza tarehe 31 Dar, tarehe 3 tanga , 6 Singida na 9 tena Tanga ... Hapo simba hachezi tena hata mechi moja eti ana msubiri al ahly ..jamani vitujo hivi .... Anakuwa na viporo 11 ... Nao wanaona ni sawa tu.
 
Mikia FC ndo wanaharibu mambo kwa kujisifia wasichokuwa nacho.
 
Back
Top Bottom