Tanzania hakuna mpira, tunapoteza muda tu

Msome vizuri tena!
Nazani utakuwa hujamuelewa vizuri lakini
Jamaa yuko sahihi!
Naamini utamuelewa !


Sent using Jamii Forums mobile app
Nishamuelewa yeye anamainisha kwamba yanayokwamisha secta zingine kuna yanakwamisha na secta ya mchezo pia sasa ndo tunahoji kwa nn tukishayagundua hayo tusiyafanyie kazi


Yeye kaja na hoja ya hakuna secta inayofanya vizuri, wewe unaona hiyo ni hoja ya msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mimi nakubaliana nae!
Labda sasa useme hapana siyo kweli sababu zipo sekta zinazofanya vizuri kama vile........:
Zitaje hizo sekta zinazofanya vizuri ili tuweze kuzifahamu na mifano yake sahihi! (With Relevant examples)
Karibu tafadhali!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mimi naelewa hivyo hivyo. Hakuna sekta tunayofanya vizuri na kinachokwamisha sekta zingine ndiyo kinachokwamisha michezo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga anacheza tarehe 31 Dar, tarehe 3 tanga , 6 Singida na 9 tena Tanga ... Hapo simba hachezi tena hata mechi moja eti ana msubiri al ahly ..jamani vitujo hivi .... Anakuwa na viporo 11 ... Nao wanaona ni sawa tu.
Kama hiki ulichoandika ni kweli basis tunasafari ndefu sana, cha ajabu kuna timu zimeshaanza mechi za raundi ya pili wakati mechi ya raundi ya kwanza hawajui watacheza lini,(azam na yanga haijulikani itachezwa lini)
 
Hata Mimi naelewa hivyo hivyo. Hakuna sekta tunayofanya vizuri na kinachokwamisha sekta zingine ndiyo kinachokwamisha michezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kukosekana kwa secta inayofanya vzuri siyo hoja ya secta ya mpira kutofanya vzuri


Kipimo cha kujua umaridadi wa kitu au mtu au kiumbe yoyote mpaka kishindanishwe au kupewa mitihani kadhaa


Unaweza kuniambia ni secta gani imeshindanishwa kila mwaka inafeli kama hii ya mpira wa TZ




Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mashinano ni njia mojawapo ya kupima ufanisi wa swala fulani lakini siyo njia pekee ya kiweza kupima na kuweza kujua ufanisi wa swala flani!
Inategemeana na aina , asili, n.k ya sector husika!
Mfano sector ya maji, nishati (umeme) , afya, kulimo , usalama wa raia n.k huwezi kupata kujua ufanisi wake kwa njia ya mashindano!
Kila kimoja ninaweza kuwa na namna tofauti ya kupima lakini mwisho wa siku itajulikana wazi kama tuko tunapiga “mark times”, tunasonga mbele au tumerudi nyuma ktk ufanisi!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha tuendelee kushindwa maana ndo tulivyoumbwa
hatukosagi sababu Wa Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hiki ulichoandika ni kweli basis tunasafari ndefu sana, cha ajabu kuna timu zimeshaanza mechi za raundi ya pili wakati mechi ya raundi ya kwanza hawajui watacheza lini,(azam na yanga haijulikani itachezwa lini)
Sio kwamba kama ni cha kweli.... Ni ukweli na ndio uhalisia ..Yanga wemelalamik..hawajalalamikia simba kutokucheza .... ila inakuwaje tarehe 31 ucheze Dar , 3 Tanga ,6 Singida halafu urudi tena Tanga .... Na ni gap la siku 2 tu .... Unasafiri na kucheza humo humo ...sio fair kuna mtu anaandaliwa mazingira.
 
Pamoja na viporo vyote subiri utaona matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…