Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
Haiwezekani hata kombe dogo tu hili tunakosa
Ivi mpira wa Tanzania mbona haubadiliki miaka yote
Tunakwama wapi ?
Nani ameturoga yaani wachezaji hawana ubunifu kabisa aise ..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sekta gani inayofanya vizuri? Kinachokwamisha michezo ndicho hicho hicho kinachokwamisha maendeleo sekta nyingine.