chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Tanzania bado tuna safari ndefu sana ya kutofautisha biashara za ushindani na biashara za vita.
Biashara za ushindani ndio ideology kubwa inayopelekea nchi nyingi zilizoendelea kwa kasi. Asilimia kubwa ya biashara za ushindani ndio chachu ya kukuwa kwa ushindani kama aina mpya ya mitindo ya biashara, ubunifu, mawazo mapya, kuendana na wakati. Ushindani wa biashara unafaida kubwa mfano. Kama makampuni ya simu anavoshindana kila mtu kuleta ushindani wake.
Mfano wa pili:
Azam anatengeneza kinywaji cha energy na Mo anatengeneza energy ila kila mtu kaweka utofauti wa kinywaji ili kujua hiki ni cha nani.
Mfano wapili:
Biashara za ndogondogo kama mtaani mtu anatengeneza vitafunwa kama
Maandazi tu wewe tengeneza chapati. Upande vita vya biashara unakuja kuleta chuki zisizo kuwa na sababu kwa kuogopa ushindani. Lakini ushandani huo unakuwa sio biashara ni vita ya kupigana kwenye biashara ili kubaki wewe tu. Tafiti zangu zinaonyesha asilimia kubwa Tanzania kuna vita ya biashara iliyopo ndani . Kuanzia mtaani mpaka kitaifa.
Mfano mzuri swala la sukari ,umeme,maligafi,mazao kuuza nje,biashara ndogondogo na kubwa (vita ya biashara).
Hapa ndipo tutagundua sehemu kubwa ni kuogopa ushindani wa biashara.
Sw
Biashara kushikiliwa na mtu mmoja. Hii inafanywa na matajiri, viongozi, wababe, wasomi, wasio wasomi.
Sita mtaja kiongozi gani maana mifano tunayo ! Kuna baazi ya maligafi wakiingia hao kwenye biashara basi nyie wote mtapigwa vita kubaki yeye kama yeye.
Mifano hipo mingi na hii ndio inakwamisha nchi yetu kupiga hatua kwa kuofia ushindani.
Je, tutapigana vita vya biashara mpaka lini!