Tanzania hakuna wachambuzi wa mpira

Tanzania hakuna wachambuzi wa mpira

karv

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
1,802
Reaction score
3,253
Habari ya wakati huu

Nikiwa na akili zangu timamu kabisa nasema hivi Tanzania hakuna wachambuzi wa mpira wengi ni waropokaji tu na wanaenda na upepo umekaaje

Wengi wa wachambuzi wetu wanachambua ili tu kubalance story kuhusu hawa mapacha wa kariakoo.

Mchambuzi hajawahi hata kucheza sodo [emoji1787][emoji1787] sema sitowataja ila mnawajua
 
Kuna Yule wa East Africa Omar majan anajua kuremba maneno tu Kama Kadem flan East Africa wanapenda udaku Sana Hiyo radio station kwenye uchambuz n zero clouds kuna kale ka priva n uharo tu pale clouds
 
Bongo wachambuzi ni wachache mno wanaojuwa....kuna mchambuzi mmoja ivi anakera mno, i don know ni yeye ama kijana wake!! Yeye na Cr7+Man u + Portugal, yeye na wachezaji wa brazili + timu ya taifa.

Sasa siku akifunga Ronaldo jiandae kukutana na macaption ya kumwaga na marefu...sifa zote anapewa yeye, na records za nyuma zinawekwa acha kabisa....kwa upande wa brazili records za nyuma watu washachoka yeye anazirudia tuu.....

Haya sasa upande wa messi 😅 siku akifunga hazungumziwi kihivyo, caption zenyewe ni very short, ila kwa jamaa sasa 😂


For now, edo kumwembe, ambangile na tigana nawakubali.
 
Akikusikia Geoffrey Lea atakuja kukutukana 😆
 
Back
Top Bottom