Bongo wachambuzi ni wachache mno wanaojuwa....kuna mchambuzi mmoja ivi anakera mno, i don know ni yeye ama kijana wake!! Yeye na Cr7+Man u + Portugal, yeye na wachezaji wa brazili + timu ya taifa.
Sasa siku akifunga Ronaldo jiandae kukutana na macaption ya kumwaga na marefu...sifa zote anapewa yeye, na records za nyuma zinawekwa acha kabisa....kwa upande wa brazili records za nyuma watu washachoka yeye anazirudia tuu.....
Haya sasa upande wa messi 😅 siku akifunga hazungumziwi kihivyo, caption zenyewe ni very short, ila kwa jamaa sasa 😂
For now, edo kumwembe, ambangile na tigana nawakubali.