Tanzania hakuna wachambuzi wala mashabiki kuna bendera fuata upepo

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
10,913
Reaction score
13,876
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania mashabiki na wapenzi wote wa mpira Tanzania na Africa mashariki kwa ujumla.

Kama kuna sehemu tunafeli kama taifa ni sehemu ya wachambuzi wetu yaani asilimia kubwa hawana uelewa wa mchezo wa mpira wa miguu wao wanachambua kwa kuangalia upepo na sio uhalisia kwasababu zifuatazo:–

Walimkataa KIBU DENIS kwa kumdharau na kumkejeli mpaka wengine wakaenda mbali kuandika makala za kumponda Ila leo hii wanamuita mkandaji na kumsifia kuanzia national team mpaka kwenye club ya simba.

Wakaja wakahamia kwa AZIZ KI wakasema ni hasara na yanga inatakiwa iachane naye lakini mwisho wa siku alikuja kuwaziba midomo baada ya kuja kocha mpya na leo kila mtu anaona mchango wake yanga.

Wakati simba inamsajili AYOUB LAKRED kila mtu hakutarajia kwamba atakuwa mchezaji mzuri kwasababu alikaa nje mwaka mzima na alipoanza kukaa langoni kila mtu alikuwa na wasi wasi na hakuamini kiwango chake ila anachokifanya sasa hivi kila mtu anaona wachambuzi na mashabiki wamezibwa midomo.

Katika mechi ya SIMBA NA YANGA kila mchambuzi na shabiki alimpa sifa GAMOND baada ya team yake kuibuka na ushindi wa goli 5–1 lakini kinachoendelea sasa hivi kwa mashabiki na wachambuzi wameanza kumponda na kulalamika kutokana na mfumo wake na jinsi anavyochelewa kuusoma mchezo na kufanya maamuzi na wengine wakidai upepo wake umekata.

Baada ya simba kumleta kocha mpya alinza kumpa nafasi ONANA ambaye alionekana kutopata nafasi kwa kocha aliyepita na wachambuzi na mashabiki kuanza kulalamika na kudai ni mzigo ila alichokifanya kwenye mechi mbili baada ya kuja kocha mpya kila mtu ameona na ameanza kubadilka wachambuzi wamebaki midomo wazi hawana la kuongea.

Watanzania wengi ni bendera fuata upepo wanaendeshwa na matukio yaani hawaumizi kichwa wakimkataa mtu wanamkataa mazima bila kuweka akiba ya maneno.

Remember failure is a condition and not a person and acquired characteristics can't be inherited always remember this quote.

Usimkatie mtu tamaa as long as he/she is alive.

Alamsik.
 
Kiukweli umethibitisha jinsi ulivyo pwilo
Yaani kichwa cha uzi umeandika tanzania hakuna mashabiki, shangaa mwanzo wa habari eti unawasalimu mashabiki wa tanzania! Jamani wengine c muendelee tu na kupiga nyeto mlozoea? Kwani lazima ulete uzi hapa?
 
Use law of average hata saudi Arabia kuna wakristo hata zanzibar kuna wakristo na hata Italy na uingereza kuna waislamu so what is your point view?
 
Use law of average hata saudi Arabia kuna wakristo hata zanzibar kuna wakristo na hata Italy na uingereza kuna waislamu so what is your point view?
Maskini mpaka wananchi wametelekeza uzi.
 
Maskini mpaka wananchi wametelekeza uzi.
I think you have psychological problems I don't do it for the sake of attention credit or otherwise I did it because i want to share my opinion if you're caring about likes comment on social platforms you're still a child also know the difference between being alone and loneliness having one million likes and comments while you're starving that's stupid I'm out.
 
Mi nimekuelewa mkuu...hakuna wachambuzi ni takataka...
 
Now go ahead mr analyst, if you think to change language will keep us kufumbia ugolo ulo andika, komaa, ila me naona heri ungekaa shhh!
 
Now go ahead mr analyst, if you think to change language will keep us kufumbia ugolo ulo andika, komaa, ila me naona heri ungekaa shhh!
Ugolo [emoji777]

Ugoro [emoji736]

Mimi mtu akichanganya r na l nampa ushindi maana nishajua naongea na mtu wa namna huna tofauti na anayeandika xaxa badala ya sasa umeshinda mkuu we ni genius sikuwezi.
 
Ugolo [emoji777]

Ugoro [emoji736]

Mimi mtu akichanganya r na l nampa ushindi maana nishajua naongea na mtu wa namna huna tofauti na anayeandika xaxa badala ya sasa umeshinda mkuu we ni genius sikuwezi.
Unaona sasa? Yaani kukosea kidogo tu spelling moja kwenye neno la kitu unapenda "ugoro" unachukia hivi?
Mr pwilo ugoro ni mabaya mno achana nayo yanaharibu meno.
 
Onana anafaa au hafai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…