je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Nimeamka hapa naona statement ya Simba kuwa wamemchukua mgunda kama kocha wa mpito coz ana lesen A ya CAF.
Ktk hicho kipindi kifupi then wakipata kocha mgunda anarudi alipotoka. Lakini hizo comments za mashabiki utadhani wamechanganyikiwa yan wamejitoa akili kabisa.
Wanaongea hovyo hovyo. Hii yote ni kidharauliana wabongo kwa wabongo. Kila siku tunasema mbona simba na yanga hazina kocha wazawa?
Ila wazawa wakipewa timu hao hao mashabiki hawawataki, lakini akija kocha mzungu hata kama huko alikotoka toka hakuwa na timu basi atasifiwa wakati hata hatukuwai kumuona akifundisha.
Tunasoma tu habari zake kwa Shafih Dauda. Leo hii kocha wa muda ambae tunamjua kila siku na alishakuwa Stars lakin bado mashabiki wajinga wanaongea pumba ila yote haya ni kuwa timu ime draw na KMC.
Niulize kwani walipokuwa hao makocha wazungu timu haikuwai kufungwa wala kudraw?
Watanzania tuacheni upumbavu na kujifanya wajuaji wa kila kitu. Sasa nyie mlitaka Malawi aende nani kwa haraka haraka wakati matola hana leseni ya CAF?
Ujinga ndio kitu kinatuangusha watanzania.