Tanzania hakuna watu wa mpira, kuna mazumbukuku wa mpira

Tanzania hakuna watu wa mpira, kuna mazumbukuku wa mpira

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Nimeamka hapa naona statement ya Simba kuwa wamemchukua mgunda kama kocha wa mpito coz ana lesen A ya CAF.

Ktk hicho kipindi kifupi then wakipata kocha mgunda anarudi alipotoka. Lakini hizo comments za mashabiki utadhani wamechanganyikiwa yan wamejitoa akili kabisa.

Wanaongea hovyo hovyo. Hii yote ni kidharauliana wabongo kwa wabongo. Kila siku tunasema mbona simba na yanga hazina kocha wazawa?

Ila wazawa wakipewa timu hao hao mashabiki hawawataki, lakini akija kocha mzungu hata kama huko alikotoka toka hakuwa na timu basi atasifiwa wakati hata hatukuwai kumuona akifundisha.

Tunasoma tu habari zake kwa Shafih Dauda. Leo hii kocha wa muda ambae tunamjua kila siku na alishakuwa Stars lakin bado mashabiki wajinga wanaongea pumba ila yote haya ni kuwa timu ime draw na KMC.

Niulize kwani walipokuwa hao makocha wazungu timu haikuwai kufungwa wala kudraw?

Watanzania tuacheni upumbavu na kujifanya wajuaji wa kila kitu. Sasa nyie mlitaka Malawi aende nani kwa haraka haraka wakati matola hana leseni ya CAF?

Ujinga ndio kitu kinatuangusha watanzania.
 
Nadhani sheria za CAF zinahitaji uwe na kocha mwenye class A katika mechi unazocheza, kwa kuwa mechi ya Simba ipo karibu Mgunda ndio ikawa option rahisi kumuazima ili Simba wakidhi vigezo.

Mgunda kaazimwa tuu na si kocha wa kudumu wa Simba kwa sasa.
 
Kwahyo akirud anakuwa kocha wa coastal, halafu coastal itacheza na simba! Daaah[emoji15][emoji3]
 
Kwahyo akirud anakuwa kocha wa coastal, halafu coastal itacheza na simba! Daaah[emoji15][emoji3]

So ulitaka iache kucheza na coastal ike icheze na Ndanda? Mbona nyie mliwahi kuazima wachezaji wetu watatu kwenda kuwasaidia msshindano ya Caf Champions league na wakarudi wakacheza na nyie tena? Mbona hamkukataa kuwa walichezea kwenu mechi za kimataifa? Usijitoe akili bob.
 
Nimeamka hapa naona statement ya simba kuwa wamemchukua mgunda kama kocha wa mpito coz ana lesen A ya caf. Ktk hicho kipindi kifupi then wakipata kocha mgunda anarudi alipotoka....
Sasa usiseme watanzania, ni wanasimba, sisi wananchi hatuna upumbavu huo

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Nimeamka hapa naona statement ya simba kuwa wamemchukua mgunda kama kocha wa mpito coz ana lesen A ya caf. Ktk hicho kipindi kifupi then wakipata kocha mgunda anarudi alipotoka...
Mashabiki wa utopolo wanaingoza kujifanya simba.sisi simba hatuna tatizo na mgunda
Utopolo ni vinyesi
 
So ulitaka iache kucheza na coastal ike icheze na Ndanda? Mbona nyie mliwahi kuazima wachezaji wetu watatu kwenda kuwasaidia msshindano ya Caf Champions league na wakarudi wakacheza na nyie tena? Mbona hamkukataa kuwa walichezea kwenu mechi za kimataifa? Usijitoe akili bob.
Mwambie huyo hajui
 
Nimeamka hapa naona statement ya simba kuwa wamemchukua mgunda kama kocha wa mpito coz ana lesen A ya caf. Ktk hicho kipindi kifupi then wakipata kocha mgunda anarudi alipotoka...
Rudi tena kwenye ule Uzi Mkuu. Mbona siyo wote walioponda? Wengine tumetoa comments nzuri Sana, unapotumuisha wote hutendei haki.
 
Mashabiki wa utopolo wanaingoza kujifanya simba.sisi simba hatuna tatizo na mgunda
Utopolo ni vinyesi
Hili nalo umeliandika bila utafiti. Miongoni mwa aaliomponda Mgunda ni mashabiki Hoya Hoya wa Simba jf.
 
Nashukuru sijawai vutiwa na timu mbili za kariakoo. Maana shabiki zao kama vile wamenyimwa kutambua mambo
 
Back
Top Bottom