kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Hii nchi ina vituko sana, kumbe 5G ni mchongo tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Huku mitandao ya simu ikijitapa 5G kuenea nchi nzima, na nape akijitapa hivyo, ukweli ni kuwa hali sio hivyo
Dar sehem nyingi hamna 5G kabisa
Nimeambiwa na tigo ofisi zao mlimani city kuwa 5G kama nataka niende posta na masaki
Haya, Voda napo nilizungushwa tu
Wengine watakuambia mitambo ya 5G iliwashwa kama wiki 3 tu kutest mambo na kujulisha umma then ikazimwa..
Tanzania kuna utapeli wa kila aina
Bora tu nirudi kuwa diaspora tu[emoji28][emoji23]
Tz kila kitu ni feki na uwongo tu