Tupe tonnage zenye wamepitisha bandari ya dar juu kwa bwembwe hamjamboo.... container kumi za UNHCR zikipiswa dar mnapayukia dunia mzima ati ssudan inatumia bandari yenyu......leta numbers tafadhali tuache kujadili na maneno matupuHaya, south sudan share a border with you, lkn wapo radhi wachukulie dsm ipite Ug hadi kwao.
Unasemaje
Excuses, please ya south Sudan nimekwambia uniletee tonnes zenye zinapita dar ,,,pamoja na Burundi na drc kuwa miles kubwa na Kenya kuna wale wanapitisha mizigo Yao Mombasa ila wachacheUg imepakana na ziwa victoria. Haya, What about south sudan
kama vile Kenya inachukua import ya Mahindi kutoka Zambia mara moja kwa mwaka, haimaanishi kuwa ni import ya kila siku ila ni ya muda mfupi. Hiyo ndio mnaringia hivo Tena WFP yani kitu Cha bure/ msaada.Haya, south sudan share a border with you, lkn wapo radhi wachukulie dsm ipite Ug hadi kwao.
Unasemaje
Mpumbavu mkubwa, sisi tunaangalia pesa, sio kama ninyi mnaanzisha routes bila kujua kama ni " high or low season", biashara inataka uwe na akili, sio ninyi failed state mnaanzisha route ya USA baada ya wiki ndege inaenda tupu.Sasa hiyo 100
Nimekuuliza Mumbai mnafika lini? mlitupanulia bakuli mwezi wa Mei mnatua huko.
Baboon IQ mbona unaniletea habari ya mwaka Jana 2018 August mlipokuwa mkipiga kelele na kuanzisha nyuzi kuwa By mwezi wa September 2018 mnaingia Mumbai na Guangzhou kichwa kichwa? Sasa ni mwaka moja baadaye na Ndege zenyewe hata betri hazina huku zikiota kutu [emoji16][emoji16][emoji16] Shenzi kabisa.
Hiyo ni kwa upande wa Kenya, sio kwa mtazamo wa Tanzania. Sasa kama mnalijua hilo, vipi hamuwezi kumalizia SGR kutoka Naivasha hadi Malaba ili mkamate mizigo mingi ya DRC?. Kama SGR ya Tanzania ikifika Kigali, unadhani kuna mfanyabiashara toka DRC atasumbuka kutumia barabara kukatiza hadi Kenya?. Acheni kutegemea mikopo, punguzeni rushwa na ujinga kidogo mtaweza kupata pesa ya kumalizia hicho kipande cha Naivasha hadi MalabaBaboon IQ Uganda ni mlango wa kuingia DRC.
Nani asome gazzeti la sisiem Una kichaa wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tona ongelea present ww unaruka ruka. As long as graph inakuwa in our favour hayo mengine ni history. Halafu ni mjinga pekee anaye weza kubeza kazi ya Nyerere ndiyo maana dunia inampa heshima zaidi kuliko Jomo Kenyatta.Huo ukaribu wa Dar hadi Rwanda na kwamba Rwanda hatupo nao kwenye mpaka mmoja, ni ajabu sana kuna bado kuna asilimia hata 1% ambao wanategemea bandari ya Mombasa, haileti mantiki kabisa, yaani mwanabiashara atoke Kigali hadi mpaka wa Rwanda na Uganda, akatize Uganda yote aimalize hadi afike mpaka wa Uganda na Kenya, akatize Kenya yote aimalize hadi afike Mombasa......hehehe aisei nyie watu mivivu wa kutupwa mbali sana kama kuna Wanyarwanda mnawatamausha wanakuja hadi Kenya.
Nilishangaa hata Burundi, kunao wanateseka kuja huku.....aki ya nani hamfai nyie, mnafaa mkoloniwe kw viboko hadi mtie akili, muamke aisei, mna uvivu wa kijinga kweli, Magufuli anajitutumua kuwaburuza lakini kuwabadilisha mlivyo itabidi sijui nani awatawale, nafikiri Nyerere aliwaharibu kupita maelezo na huo ujamaa wake.
Kwahiyo kwasababu Ethiopia imepaka na Djibouti na Kenya biashara inapaswa iwe 50/50, lakini kwasasa Djibouti imechukua 100% na Kenya 0%. Akili zenu ndio zinawafanya mnakunya katika mifuko ya Rambo kule Kibera.Ug imepakana na Tanzania na Kenya hapa biashara inafaa kua 50/50 lakini Rwanda ambayo ni kama mkoa wa Tanzania iweje hawatumii bandari lenyu [emoji817]?uvivu wa sisiem[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahaha, kwani WFP ikitumia bandari inapitisha bure?, kweli wewe ni "made in failed state".kama vile Kenya inachukua import ya Mahindi kutoka Zambia mara moja kwa mwaka, haimaanishi kuwa ni import ya kila siku ila ni ya muda mfupi. Hiyo ndio mnaringia hivo Tena WFP yani kitu Cha bure/ msaada.
Baboon IQ kwani WFP wanapitisha kila siku na ni Tani ngapi wanapitisha?? Tumia akili kabla kujibu mtu wa Dead StateHahahahaha, kwani WFP ikitumia bandari inapitisha bure?, kweli wewe ni "made in failed state".
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Tona ongelea present ww unaruka ruka. As long as graph inakuwa in our favour hayo mengine ni history. Halafu ni mjinga pekee anaye weza kubeza kazi ya Nyerere ndiyo maana dunia inampa heshima zaidi kuliko Jomo Kenyatta.
Hahahahaha, kwani South Sudan wanapitishia kila siku, au Rwanda, au Zambia wanapitisha kila siku?. Wewe huna akili, kila mzigo unaopita ni pesa. Huyo meneja wa WFP ametaja kiasi cha mzigo kwa mwaka wanachosafirisha, umepanic hadi unashindwa kumsikiliza badala yake unaniuliza maswali ya Kibera.Baboon IQ kwani WFP wanapitisha kila siku na ni Tani ngapi wanapitisha?? Tumia akili kabla kujibu mtu wa Dead State
Hahahahaha, mchina aliwakatalia pesa baada ya kuona "your SGR does not make sense".Cargo ya Rwanda inatoshana tu na cargo ya kwenda Meru County
Sasa Kesho wanapitisha mzigo mwingine wa WFP? Wakipitisha Kesho kuja hapa Tena ufungue uzi.Hahahahaha, kwani South Sudan wanapitishia kila siku, au Rwanda, au Zambia wanapitisha kila siku?. Wewe huna akili, kila mzigo unaopita ni pesa. Huyo meneja wa WFP ametaja kiasi cha mzigo kwa mwaka wanachosafirisha, umepanic hadi unashindwa kumsikiliza badala yake unaniuliza maswali ya Kibera.
"ufu guess uzi" hahaha... huku ni kuchachawa. Mosi mosi msee, usije kufa siku si zako.Sasa Kesho wanapitisha mzigo mwingine wa WFP? Wakipitisha Kesho kuja hapa Tena ufu guess uzi.
Sasa nyinyo ndiyo mnaeleweka! Kenyatta amewa achia ukabila na ardhi finyu. Mnajikomba komba mara China, Marekani! too bad huo ukabila hauto isha. Narudia tena cha msingi ni share yetu ikienda huku ikiongezeka. Swala la muda tu, soon itakua zero. Kuna mtu ameuliza vipi kuhusu Ethiopia mbona 50% ya mizigo haipiti Kenya.Binafsi pia nazungumzia present...leo hii kuna asilimia zaidi 1% wanatokea Burundi na Rwanda, wanasafiri maelfu ya kilomita kuja hadi Kenya....hehehe nyie kituko.
La Nyerere kusifiwa huko nje halijalishi, cha maana ni vipi aliacha nchi, ndani mumekaa vipi, maana sera zake hizo ziliwalemaza mpaka leo mpo maskini na wavivu wa kutupwa, yeye aliitumbukiza Tanzania kwenye vita na ugomvi uliowagharimu, halafu sera za ujamaa na vijiji vya ujamaa ndio akaharibu maana mpaka leo huwa hamueleweki mko vipi, labda vitukuu vyenu ndio vitakuja kuwa sawa na kuoshwa kabisa kutoka kwenye hiyo laana.
Una kichaa Nini? Ufu guess uzi ndio Nini? Daktari wa kichwa kamuone."ufu guess uzi" hahaha... huku ni kuchachawa. Mosi mosi msee, usije kufa siku si zako.
Bado kuingia majalalani tuUna kichaa Nini? Ufu guess uzi ndio Nini? Daktari wa kichwa kamuone.