Tanzania handles 85% of cargo destined to Rwanda

Status
Not open for further replies.
Hamna sehemu nimesema sio dili, nimesema ile kwamba kuna Wanyarwanda wanahangaika kuja hadi Mombasa, ni wazi nyie ni mivivu wa kutupwa. Mlifaa kuhodhi hako kamkoa kenu maana hata hatupo nao mpaka mmoja.
Walikuja Mombasa wakati ule miundo mbinu ilikuwa si mizuri hususani barabara na reli hivi sasa tupo vizuri kupambana na nyang'au mpenda vya bure
 
Hebu soma hiyo comment yangu ulioinukuu kisha usome jibu lako alafu urejee upya.
 
Hebu soma hiyo comment yangu ulioinukuu kisha usome jibu lako alafu urejee upya.
Hiyo kazi mwambie Uhuru Kenyatta, muhimu hapa ni kwamba budget yenu ni upungufu kwa 20%, mnategemea kutembeza bakuli za pesa na chanel's
 
Wachache wanaohoji wapo humu JF hufungua nyuzi kwa kujificha ficha, ila huko nje mpo kama watumwa, hamuwezi wala hamuna uhuru wa kuhoji historia, mlichokaririshwa ndicho mnakwenda nacho.
wewe una story tofauti na unayodhani tumekaririshwa?

Lisu kuna kipindi alimkejeli Nyerere, conspirancy theory has it, hiyo ni sababu mojawapo walitaka kumuua.
 
wewe una story tofauti na unayodhani tumekaririshwa?

Lisu kuna kipindi alimkejeli Nyerere, conspirancy theory has it, hiyo ni sababu mojawapo walitaka kumuua.

Hivyo unaona fahari kujaribu kumuua Lissu kisa alithubutu kumkosoa Nyerere, ndio maana nikasema mnaishi kama watumwa wa mfumo aliowaachia, hamuna uwezo wa kujiongeza au uhuru wa kufikiri na kutumia ubongo. Hamna kitu kitamu kama kuwa huru kifikira, sisi huku tunahoji kila kilichoandikwa kwenye vitabu vya historia, lazima tuujue ukweli na hatulazimishwi kumuabudu mtu yeyote.
 
Ndio ujue Nyerere pande hii sio mtu wa mchezo, you just imagine Ug catholic backed with M7 wanataka awe mtakatifu Nyerere, ili wakisali waseme mtakatifu nyerere utuombee kwA Mungu.
Huwezi mlinganisha na takataka first presdent wenu alobadili jina la ukoo wake na kujiita kenyatta.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…