TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,079
- 3,367
Vyuma gani hahahahahaWanaolia ni nyie mliokaziwa vyuma na maisha kuwa magumu kitaa, mnalia kila siku. Sisi huku tutaumia vipi wakati uongozi wa huyo mzee wenu hautuhusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyuma gani hahahahahaWanaolia ni nyie mliokaziwa vyuma na maisha kuwa magumu kitaa, mnalia kila siku. Sisi huku tutaumia vipi wakati uongozi wa huyo mzee wenu hautuhusu.
Don't worry. Kenya will sell you the razor.
Walikuja Mombasa wakati ule miundo mbinu ilikuwa si mizuri hususani barabara na reli hivi sasa tupo vizuri kupambana na nyang'au mpenda vya bureHamna sehemu nimesema sio dili, nimesema ile kwamba kuna Wanyarwanda wanahangaika kuja hadi Mombasa, ni wazi nyie ni mivivu wa kutupwa. Mlifaa kuhodhi hako kamkoa kenu maana hata hatupo nao mpaka mmoja.
Hebu soma hiyo comment yangu ulioinukuu kisha usome jibu lako alafu urejee upya.Wewe ulipokua unazungumzia 82% ya mizigo ya Uganda ulikua unamaanisha nini?. Kwa taarifa yako mizigo mingi iliyokua inapelekwa Uganda ilikua ni Mizigo ya UN kwa ajili ya wakimbizi wa DRC na South Sudan. UN wameanza kutumia Dar to Kampala railway. Uganda tumewajengea reli toka Port bell hadi Kampala. Yafuatayo yabafurahisha sana.
Hiyo kazi mwambie Uhuru Kenyatta, muhimu hapa ni kwamba budget yenu ni upungufu kwa 20%, mnategemea kutembeza bakuli za pesa na chanel'sHebu soma hiyo comment yangu ulioinukuu kisha usome jibu lako alafu urejee upya.
wewe una story tofauti na unayodhani tumekaririshwa?Wachache wanaohoji wapo humu JF hufungua nyuzi kwa kujificha ficha, ila huko nje mpo kama watumwa, hamuwezi wala hamuna uhuru wa kuhoji historia, mlichokaririshwa ndicho mnakwenda nacho.
wewe una story tofauti na unayodhani tumekaririshwa?
Lisu kuna kipindi alimkejeli Nyerere, conspirancy theory has it, hiyo ni sababu mojawapo walitaka kumuua.
Ndio ujue Nyerere pande hii sio mtu wa mchezo, you just imagine Ug catholic backed with M7 wanataka awe mtakatifu Nyerere, ili wakisali waseme mtakatifu nyerere utuombee kwA Mungu.Hivyo unaona fahari kujaribu kumuua Lissu kisa alithubutu kumkosoa Nyerere, ndio maana nikasema mnaishi kama watumwa wa mfumo aliowaachia, hamuna uwezo wa kujiongeza au uhuru wa kufikiri na kutumia ubongo. Hamna kitu kitamu kama kuwa huru kifikira, sisi huku tunahoji kila kilichoandikwa kwenye vitabu vya historia, lazima tuujue ukweli na hatulazimishwi kumuabudu mtu yeyote.