Tanzania handles 85% of cargo destined to Rwanda

Tanzania handles 85% of cargo destined to Rwanda

Status
Not open for further replies.
Do u handle 100% of cargo from Uganda?

Why you this dumb?
Doesn't Tanzania also share a border with Uganda?

Meanwhile you are the only country with a port, sharing a border with Rwanda, and yet you don't have 100% of their business. Shameful.
 
Kweli hamuna aibu kwa mlivyo mivivu, hivi nini kimebadilika hapa, nini kipya, Rwanda ni kamkoa kenu, hata hatupo nao kwenye mpaka nao, siku zote mizigo yao wamekua wakitegemea bandari yenu kwa asilimia kubwa, ni aibu sana eti bado kunao hukatiza kutoka Rwanda hadi Mombasa.

Ni kama itokee Sudan Kusini waje kutumia bandari ya Dar, hiyo siku sijui nitajificha wapi, kwa aibu.
Kama ni kweli leo unaona Rwanda sio deal kwanini mlitaka na mnaendelea kutaka Sgr ifike rwanda?maneno ya mshidwaji
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kama ni kweli leo unaona Rwanda sio deal kwanini mlitaka na mnaendelea kutaka Sgr ifike rwanda?maneno ya mshidwaji

Hamna sehemu nimesema sio dili, nimesema ile kwamba kuna Wanyarwanda wanahangaika kuja hadi Mombasa, ni wazi nyie ni mivivu wa kutupwa. Mlifaa kuhodhi hako kamkoa kenu maana hata hatupo nao mpaka mmoja.
 
You should be ashamed you don't handle 100% when Rwanda is almost literally inside Tanzania.

Also, Tanzania launching a 'tea terminal' is insignificant.

Mombasa is the not just the tea HQ. It is one of the largest tea auctions in the world.
Over 50 countries congregate here to buy their tea.

What you are trying is like attempting to dethrone NYSE.

You would need more than 50 years to reach where Mombasa is. 😂 😂
Your point is invalid as not all Rwandan cargo is sea freighted. Think.
 
Wakenya Mbona haters sana kwani si mfanye mambo yenu mtuachie yetu kwan shda nn mbona mnaumia sana what's wrong with yoo guys
You should be ashamed you don't handle 100% when Rwanda is almost literally inside Tanzania.

Also, Tanzania launching a 'tea terminal' is insignificant.

Mombasa is the not just the tea HQ. It is one of the largest tea auctions in the world.
Over 50 countries congregate here to buy their tea.

What you are trying is like attempting to dethrone NYSE.

You would need more than 50 years to reach where Mombasa is. [emoji23] [emoji23]
 
Wakenya Mbona haters sana kwani si mfanye mambo yenu mtuachie yetu kwan shda nn mbona mnaumia sana what's wrong with yoo guys

Hii ni forum ya Kenya. Mtanzania ndiye ameanzisha uzi hapa.
Kama hamtaki wakenya wacomment, pelekeni hadithi zote za Tanzania Jukwaa la Siasa.
 
Binafsi pia nazungumzia present...leo hii kuna asilimia zaidi 1% wanatokea Burundi na Rwanda, wanasafiri maelfu ya kilomita kuja hadi Kenya....hehehe nyie kituko.
La Nyerere kusifiwa huko nje halijalishi, cha maana ni vipi aliacha nchi, ndani mumekaa vipi, maana sera zake hizo ziliwalemaza mpaka leo mpo maskini na wavivu wa kutupwa, yeye aliitumbukiza Tanzania kwenye vita na ugomvi uliowagharimu, halafu sera za ujamaa na vijiji vya ujamaa ndio akaharibu maana mpaka leo huwa hamueleweki mko vipi, labda vitukuu vyenu ndio vitakuja kuwa sawa na kuoshwa kabisa kutoka kwenye hiyo laana.
Kuhusu Nyerere mkuu, ww fungasha bakuli lako tu.
Huwezi kuta wana wa nchi ya Tz wanalalamika nyerere kutokea kwa hela. Different story kwa kenyatta senior, worsekwa kenyatta junior.
Nyerere kafanya makubwa na amecha legacy ambayo upeo wako mfupi wa akili hauwezi ng'amua.
 
Ni vigumu kupata wanaolalamika maana mlisindikwa nyote kwenye mfumo wa ukimya, ni wachache kwenu wenye ujasiri wa kuhoji, mnaelekezwa elekezwa kama mifugo, hapa Kenya tunahoji kila kitu, tuna uhuru huo yaani hadi raha, hamna cha kuambiwa eti baba wa taifa wala nini, lazima uhoji huo ubaba wake ulikuja aje na kwanini tumuenzi...... Ndio maana tunayo katiba mpya na bora kuzidi zote ukanda huu, nyie mlijaribu kuandika katiba mpya mkaangukia pua.
 
Unaandika wote tumesindikwa afu unaandika tena wachache wanaweza kuhoji, sasa ww si mpuuzi tu wa kupuuzwa.
Uliza hata wakenya wenzio, who was better btn nyerere and kenyatta, watakwambia nyerere, vuka boda uulize hivyo, kwanza utapigwa kwa kuwalinganisha, imagine umtukane.
 
82% of UGANDA'S CARGO PASSES THROUGH MOMBASA- TradeMarkEA Hii ni kwa mizigo ya Uganda, 82% inapitia bandari ya Mombasa! Ongeza juu yake mizigo ambayo baadhi ya watz wanaingiza kupitia bandari ya Mombasa. Alafu 10% ya mizigo yote inayopita kwenye bandari ya Mombasa huwa inaelekea S.Sudan. Bandari ya Mombasa sio saizi yenu bana.
100% ya mizigo ya Zambia na Malawi, 95% Mizigo ya Burundi, 85% Mizigo ya Rwanda, 18% Uganda, 15% DRC and 5% Zimbabwe. Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
 
Unaandika wote tumesindikwa afu unaandika tena wachache wanaweza kuhoji, sasa ww si mpuuzi tu wa kupuuzwa.
Uliza hata wakenya wenzio, who was better btn nyerere and kenyatta, watakwambia nyerere, vuka boda uulize hivyo, kwanza utapigwa kwa kuwalinganisha, imagine umtukane.

Wachache wanaohoji wapo humu JF hufungua nyuzi kwa kujificha ficha, ila huko nje mpo kama watumwa, hamuwezi wala hamuna uhuru wa kuhoji historia, mlichokaririshwa ndicho mnakwenda nacho.
 
100% ya mizigo ya Zambia na Malawi, 95% Mizigo ya Burundi, 85% Mizigo ya Rwanda, 18% Uganda, 15% DRC and 5% Zimbabwe. Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
Sasa point yako ni nini? Kwamba bandari ya Dar ina handle mizigo mingi zaidi ya bandari ya Mombasa? Au point yako ni hahaha?
 
Ndio kwanza Mzee ana miaka minne tuu mmeanza kulia hahahaha huu mwendo mpaka 2025 asee mna msiba mrefuu hahahahaha ....
Na bado Mbona badoooooooo
Hii ni forum ya Kenya. Mtanzania ndiye ameanzisha uzi hapa.
Kama hamtaki wakenya wacomment, pelekeni hadithi zote za Tanzania Jukwaa la Siasa.
 
Sasa point yako ni nini? Kwamba bandari ya Dar ina handle mizigo mingi zaidi ya bandari ya Mombasa? Au point yako ni hahaha?
Wewe ulipokua unazungumzia 82% ya mizigo ya Uganda ulikua unamaanisha nini?. Kwa taarifa yako mizigo mingi iliyokua inapelekwa Uganda ilikua ni Mizigo ya UN kwa ajili ya wakimbizi wa DRC na South Sudan. UN wameanza kutumia Dar to Kampala railway. Uganda tumewajengea reli toka Port bell hadi Kampala. Yafuatayo yabafurahisha sana.
 
Ndio kwanza Mzee ana miaka minne tuu mmeanza kulia hahahaha huu mwendo mpaka 2025 asee mna msiba mrefuu hahahahaha ....
Na bado Mbona badoooooooo

Wanaolia ni nyie mliokaziwa vyuma na maisha kuwa magumu kitaa, mnalia kila siku. Sisi huku tutaumia vipi wakati uongozi wa huyo mzee wenu hautuhusu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom