Kwa mujibu wa Africa Minerals Development Centre (
AMDC), nchi kuu za Afrika zilizohusika katika uzalishaji wa madini adimu (rare earth minerals) mwaka 2021 ni Madagascar, Burundi, Afrika Kusini na Tanzania.
Afrika Kusini na Tanzania kwa pamoja zilichangia takribani tani milioni 1.6 za hazina ya madini adimu duniani, sawa na asilimia 2% ya jumla ya hazina ya dunia.
Nchi tano zilizoongoza kwa kuwa na hazina kubwa zaidi ya madini adimu mwaka 2021 ni:
- China – 34%
- Vietnam – 17%
- Brazil – 16%
- Urusi – 16%
- India – 5%