Hawakukuambia wenzio wanakula nchi wewe endelea kutumwa kuhubiri injili huku wenzio wanatengeneza generational wealth.Umeziona wap mining za rare earth materials
As an adult unatakiwa kuongea kitu chenye ushahidi, mfano risiti za miamala, ama umiliki wa kampuni apo ndo unaonekana mtu mzima sasaHawakukuambia wenzio wanakula nchi wewe endelea kutumwa kuhubiri injili huku wenzio wanatengeneza generational wealth.
And you're good at helping them....
Use Google atleast. Kama walau unaingia kwenye vikao vyao na hawakuambii kuna zaidi ya 5 rare mines Tanzania basi wamefanikiwa kuwaficheni.As an adult unatakiwa kuongea kitu chenye ushahidi, mfano risiti za miamala, ama umiliki wa kampuni apo ndo unaonekana mtu mzima sasa
πππ mpaka nimecheka, google is a collection of what everyone is typing, wewe kama wewe ungekua mtu mzima unasema iviUse Google atleast. Kama walau unaingia kwenye vikao vyao na hawakuambii kuna zaidi ya 5 rare mines Tanzania basi wamefanikiwa kuwaficheni.
And some of them are names Gold mines to fool you. Your masters are enjoying mema ya nchi.....huyu mama ametoa moja baada ya kuingia madarakani toka 2010 marais waliopita walikuwa wanaipotezea ila yeye alipoingia tu akawapa...Serikali inachukua 16%....
Sasa si ndo maaana.miradi inajengwa wewe unataka kujustify kwamba maisha yako binafasi yanahusiana na viongozi?
Acha utapelii,vinginevyo utuambie ni mali ya top layers a.k.a wala keki ya taifa pekee.Visingizio vya kuonewa wivu kawaambie wanaofanya biashara na madalali wauza taifa letu!Kwa mujibu wa Africa Minerals Development Centre (AMDC), nchi kuu za Afrika zilizohusika katika uzalishaji wa madini adimu (rare earth minerals) mwaka 2021 ni Madagascar, Burundi, Afrika Kusini na Tanzania.
Afrika Kusini na Tanzania kwa pamoja zilichangia takribani tani milioni 1.6 za hazina ya madini adimu duniani, sawa na asilimia 2% ya jumla ya hazina ya dunia.
Nchi tano zilizoongoza kwa kuwa na hazina kubwa zaidi ya madini adimu mwaka 2021 ni:
- China β 34%
- Vietnam β 17%
- Brazil β 16%
- Urusi β 16%
- India β 5%