Tanzania has approx 2 Million more people living in slums, than Kenya

Tanzania has approx 2 Million more people living in slums, than Kenya

Wanajua mji wao ni so underdeveloped. Ndio maana wanajiliwaza na sijui Kibera, ughaidi,
Unajidanganya wewe
Sikutegemea kama Nairobi ina Vibanda vile!!
Hilo ni jambo linajulikana tangu Kenya kujipa uhuru, lakini wewe dada hebu tazama hata ramani hizi zinavyoashiria....

Ramani ya Nairobi.
Nairobi_InformalSettlmentsMap.png

Halafu Dar....

urbanspatial-dar-es-salaam-luse.jpg

Hizo red ni unplanned settlements, ama mitaa za mabanda. Sasa kati ya Nairobi na Dar ni mji upi uko na mitaa nyingi za mabanda?
 
Mahindi twanunua na bei ya juu Kuliko huko yatokako... Madaktari walizuliwa kuja, lakini wangekuja tungewalipa mara tatu zaidi ya walichopata huko Tz, hio si omba omba, hio ni order oder ('waiter, hebu order mahindi kutoka tz)

Kenya ikiacha ku order mahindi toka Tz, wakulima wenu watabaki mijungu kulia na kusaga meno
Mkiacha ku order mahindi kutoka Tanzania mtakula mafi yenu.Kama mmeshindwa kulipa madktari wenu hadi wanagoma hiyo pesa ya kuwalipa watanzania mtaitoa wapi?
 
hehe sasawa...getting our hands dirty as well...hawa watnzania wanasinya kweli....hawajui wakati tunapo nyamaza si kwamba hatujui kuwa tanzania yenyewe pia ina slums mbaya sana...
Acha uongo wewe mutu ya huko K,sura mbaya Kama goti la mbuzi.
 
Mkiacha ku order mahindi kutoka Tanzania mtakula mafi yenu.Kama mmeshindwa kulipa madktari wenu hadi wanagoma hiyo pesa ya kuwalipa watanzania mtaitoa wapi?
Acha kuongea ujinga. Tanzania sio nchi ya pekee inayotuuzia mahindi. FYI mahindi yetu hutoka hadi huko Brazil na SA.

Ikikosekana sio lazma wakenya wale tu ugali. Tumejitosheleza sana kwa vya vyakula vinginevyo kama mchele, ngano, mtama nk. Ni lazma tuvumilie hali iliopo.

Kuhusu uzalishaji wa ngano Kenya, hebu tazama hili mwaka 2014

africa-map-wheat-production.jpg

Lakini chakula chetu kikuu ni ugali.
 
Hawa manyang'au wanatafutaga data za ajabu sana
Kenya ni capitalist state, wachache wanamiliki mashamba na uchumi kwa ujumla...maskini ni wengi sana tena maskini hasa
 
Hawa manyang'au wanatafutaga data za ajabu sana
Kenya ni capitalist state, wachache wanamiliki mashamba na uchumi kwa ujumla...maskini ni wengi sana tena maskini hasa
Na nyinyi ardhi yenyu isiomilikiwa na yeyote isipokuwa wananchi, mbona nchi yenyu bado ni maskini wa kutupwa?

Umewahi kusikia kitu kinaitwa Multidimensional Poverty Index, ama (MPI)?

MPI-poor.png

Click on that image to zoom.
 
Nani kakuuliza ? Tuna shida zetu hatuna nyumba za makaratasi km nyie pale Kibera.
 
Wanajua mji wao ni so underdeveloped. Ndio maana wanajiliwaza na sijui Kibera, ughaidi,
Hilo ni jambo linajulikana tangu Kenya kujipa uhuru, lakini wewe dada hebu tazama hata ramani hizi zinavyoashiria....

Ramani ya Nairobi.
Nairobi_InformalSettlmentsMap.png

Halafu Dar....

urbanspatial-dar-es-salaam-luse.jpg

Hizo red ni unplanned settlements, ama mitaa za mabanda. Sasa kati ya Nairobi na Dar ni mji upi uko na mitaa nyingi za mabanda?
Mwenye macho haambiwi tazama..let them see it for themselves the city is 80% slum
 
Ila walimu wana kazi. Navukiwa mwalimu sharti usiwe na hasira.
Wewe Iconoclastes nimejitahidi sana kutumia njia rahisi sana ili uelewe tofauti iloyopo kati ya slums na unplanned settlements. Ukawa kama umenielewa, lkn naona umerudia yale yale. Sasa nikuelimishe kitu linganisha baina ya nchi %age of planned or surveyed land hapo ndiyo utaeleweka. L
Can you define a slum
 
Ila walimu wana kazi. Pia ukiwa mwalimu sharti usiwe na hasira.
Wewe Iconoclastes nimejitahidi sana kutumia njia rahisi sana ili uelewe tofauti iloyopo kati ya slums na unplanned settlements. Ukawa kama umenielewa, lkn naona umerudia yale yale. Sasa nikuelimishe kitu linganisha baina ya nchi %age of planned or surveyed land hapo ndiyo utaeleweka.
 
Wanajua mji wao ni so underdeveloped. Ndio maana wanajiliwaza na sijui Kibera, ughaidi,
Hilo ni jambo linajulikana tangu Kenya kujipa uhuru, lakini wewe dada hebu tazama hata ramani hizi zinavyoashiria....

Ramani ya Nairobi.
Nairobi_InformalSettlmentsMap.png

Halafu Dar....

urbanspatial-dar-es-salaam-luse.jpg

Hizo red ni unplanned settlements, ama mitaa za mabanda. Sasa kati ya Nairobi na Dar ni mji upi uko na mitaa nyingi za mabanda?
Ha! Nimeamini Wengi wenu hamjawai Itembelea Dar
Hakuna vinyumba kama vya Nairobi
Vibanda vya Nairobi vimezidi
Sikutegemea hilo

Nimeshangaa Kwenye Taarifa ya MOTOCHINI
kuwa Hawana ardhi ya kuchimba choo
inapelekea Watu zaidi ya 500 choo kimoja!!
Kweli Haya yapo Dar!; [emoji31] [emoji31]
 
Stop lying wewe kijana I'm a tz
But fortunately nimeishi Kenya in Nyanza,maeneo ya kisii,pia keroka and migori
U people are so poor
I assure those statistics of Kenya having a higher GDP than tz are outdated

Tanzania now boast a higher GDP than you Kenyans that's a fact now

And Kenya has more people living in poverty than tz

Now wewe jidanganye by taking 1980 and 90s statistics kujifarijii we are way more better than you

And in 5 years to come we will be the east African superpower with a bigger economy than you

What about unplanned settlements, Einstein?

usiongee kuhusu barabara my friend. Kenya is well connected. if you read about the Nothern corridor, Lappset project, Dongo Kundu bypass, Changamwe-Airport Roundabout, you would be amazed. Barabara za lami zilijengwa sana na serikali ya Mwai Kibaki, kila sehemu ya nchi. huwezi pata murram road Kenya.
 
Back
Top Bottom