Unajidanganya weweBana wee, huu mji kweli, kheri Kigali!! |Daaaah!
Hilo ni jambo linajulikana tangu Kenya kujipa uhuru, lakini wewe dada hebu tazama hata ramani hizi zinavyoashiria....Unajidanganya wewe
Sikutegemea kama Nairobi ina Vibanda vile!!
Mkiacha ku order mahindi kutoka Tanzania mtakula mafi yenu.Kama mmeshindwa kulipa madktari wenu hadi wanagoma hiyo pesa ya kuwalipa watanzania mtaitoa wapi?Mahindi twanunua na bei ya juu Kuliko huko yatokako... Madaktari walizuliwa kuja, lakini wangekuja tungewalipa mara tatu zaidi ya walichopata huko Tz, hio si omba omba, hio ni order oder ('waiter, hebu order mahindi kutoka tz)
Kenya ikiacha ku order mahindi toka Tz, wakulima wenu watabaki mijungu kulia na kusaga meno
Acha uongo wewe mutu ya huko K,sura mbaya Kama goti la mbuzi.hehe sasawa...getting our hands dirty as well...hawa watnzania wanasinya kweli....hawajui wakati tunapo nyamaza si kwamba hatujui kuwa tanzania yenyewe pia ina slums mbaya sana...
Acha kuongea ujinga. Tanzania sio nchi ya pekee inayotuuzia mahindi. FYI mahindi yetu hutoka hadi huko Brazil na SA.Mkiacha ku order mahindi kutoka Tanzania mtakula mafi yenu.Kama mmeshindwa kulipa madktari wenu hadi wanagoma hiyo pesa ya kuwalipa watanzania mtaitoa wapi?
Na nyinyi ardhi yenyu isiomilikiwa na yeyote isipokuwa wananchi, mbona nchi yenyu bado ni maskini wa kutupwa?Hawa manyang'au wanatafutaga data za ajabu sana
Kenya ni capitalist state, wachache wanamiliki mashamba na uchumi kwa ujumla...maskini ni wengi sana tena maskini hasa
Wawawawawa tao yote except cbd ni slum...wa wa wa nautapata nyangau kina tuma picha za kiberaBana wee, huu mji kweli, kheri Kigali!! |Daaaah!
Mwenye macho haambiwi tazama..let them see it for themselves the city is 80% slumWanajua mji wao ni so underdeveloped. Ndio maana wanajiliwaza na sijui Kibera, ughaidi,
Hilo ni jambo linajulikana tangu Kenya kujipa uhuru, lakini wewe dada hebu tazama hata ramani hizi zinavyoashiria....
Ramani ya Nairobi.
Halafu Dar....
Hizo red ni unplanned settlements, ama mitaa za mabanda. Sasa kati ya Nairobi na Dar ni mji upi uko na mitaa nyingi za mabanda?
Mwenye macho haambiwi tazama..let them see it for themselves the city is 80% slum
Kweli. Sijui hili sasa mtaanza kutatulia wapi? Kibera kwetu ni eneo ndogo tu!Nani kakuuliza ? Tuna shida zetu hatuna nyumba za makaratasi km nyie pale Kibera.
These Tanzanians fear facts kina ichoboy,kadoda and company can't be seen when it comes to facts
Can you define a slumIla walimu wana kazi. Navukiwa mwalimu sharti usiwe na hasira.
Wewe Iconoclastes nimejitahidi sana kutumia njia rahisi sana ili uelewe tofauti iloyopo kati ya slums na unplanned settlements. Ukawa kama umenielewa, lkn naona umerudia yale yale. Sasa nikuelimishe kitu linganisha baina ya nchi %age of planned or surveyed land hapo ndiyo utaeleweka. L
That place is not planned at allTch tch tch tch!
Hiyo yote ni slum mazee! ichoboy01 , Annael , kilam , Miss Natafuta , kadoda11 are actually living in such places, ukiwaona wanavyongea kuhusu Nairobi!
Go through my previous discourses you will get everything.Can you define a slum
Some goes to Kenya and Kenyans!Ukiona wakitype hapa utadhani Tanzania iko ligi moja na Canada na Norway. While in reality it is one of the LCD countries
Ha! Nimeamini Wengi wenu hamjawai Itembelea DarWanajua mji wao ni so underdeveloped. Ndio maana wanajiliwaza na sijui Kibera, ughaidi,
Hilo ni jambo linajulikana tangu Kenya kujipa uhuru, lakini wewe dada hebu tazama hata ramani hizi zinavyoashiria....
Ramani ya Nairobi.
Halafu Dar....
Hizo red ni unplanned settlements, ama mitaa za mabanda. Sasa kati ya Nairobi na Dar ni mji upi uko na mitaa nyingi za mabanda?
Stop lying wewe kijana I'm a tzgood.
What about unplanned settlements, Einstein?
usiongee kuhusu barabara my friend. Kenya is well connected. if you read about the Nothern corridor, Lappset project, Dongo Kundu bypass, Changamwe-Airport Roundabout, you would be amazed. Barabara za lami zilijengwa sana na serikali ya Mwai Kibaki, kila sehemu ya nchi. huwezi pata murram road Kenya.