Labda kama unazungumzia Kenya nyingine, hizi ni taarifa kutoka kwa World Bank, na hii ilikuwa ni Desemba 2018. Kenya ilikuwa inaongoza ukanda huu wote na Electricity Connectivity ya 75%. Huku 'projections' za WB zikionyesha kwamba Kenya itafikia Universal Coverage ya 100% kufikia mwaka wa 2022. Kenya Charts Path to Achieving Universal Access to Electricity