Tanzania has the cheapest mobile data in Africa

Tanzania has the cheapest mobile data in Africa

How is it that 4G data bundles safaricom sells you a package of 5GB at sh1,500 which translates to 300 or $3 per 1GB........
but same safaricom sells you 3G data at 1GB is 500sh...
 
Oh, I get it, the more you buy the cheaper the rate........ So who controls the rates anyway, serikali inachukua cut yake for every bundle sold, alafu campuni nayo inataka faida.... so ukitaka kupunguza data, ni serikali ipunguze kodi, kitambo nakumbuka ilikua ni rahisi sana, kuna wakati safaricom walikua unalipa 500 unapata unlimited data wiki nzika unadownload utakavyo, alafu ikafika mda wakaanza kupandisha speed, hapo pia bei ikaanza kupanda, sahii kuna ile wireles router ya safaricom inaitwa bigbox, unaeza download hadi 6MBPS,...

wp_ss_20161029_0003.png

nafikiri hua kuna cycle flani campuni zinapitia, mwanzo wanashukisha bei kuvutia wateja, alafu wakipata wateja wa kutosha wanapandisha bei kupata faida, alafu wakiboresha mtandao wanaongeza tena.....inafika mahali wako na wateja wengi wa kutosha hapo ndo wanaanza kupunguza bei tena....
 
Ni mpumbavu wa Kikenya tu anayeweza kudai number of internet users in Tanzania ni 7 mln au 15%! Tanzania has over 21 mln internet users! N penetration over 80%! Thanks to NICTB n Halotel!
 
Sasa kama gharama ya data Bongo ipo chini mbona basi penetration ipo chini hivyo, Wabongo bana ubahili wa kiujamaa. Mnataka hadi mpewe bure, kila kitu mnashushiwa bei lakini bado mnalia. Huyo Fastjet kashusha nauli hadi utadhani mabasi ya Mwanza lakini wapi mandege anarusha yakiwa nusu, juzi DART wameibuka na vilio.

Wakenya wanaotumia internet wapo 31,985,048 penetration ya 68.4% data hii hapa Africa by Country Internet Stats and 2016 Population
Ilhali Wabongo pamoja na kwamba gharama imeshushwa lakini wapo 7,590,794 penetration ya 14.5%

Muache ubahili!!!! Tumia hela Mtanzania wacha kuficha kwenye magodoro...
Population ya Kenya ni ngapi masee?
 
Nilikuwa Kenya karibuni nikajionea ajabu, jamaa zangu wamawasha data kusoma msg na kujibu halafu wanazima, nikawauliza kulikoni? Wanasema data ghali sana, halotel ukijaza credit ya elfu 10 Kwanza wanakupa mb 750
 
Tanzania has the lowest mobile data cost in Africa, according to data released by [HASHTAG]#DataMustFall[/HASHTAG] a gig costs 0.89 US dollars compared to South Africa’s which costs 5.26 US dollars reports the Daily News.

Tanzania low cost mobile data is attributed to a competitive telecommunications industry and 4G LTE network provided by the state owned Tanzania Telecommunications Company Limited (TTCL).

“TTCL came with very affordable prices after launching the 4G LTE network last year which forced other providers to lower theirs,” Mr Kazaura, former TTCL Chief Executive Officer, told the ‘Daily News’ in an interview

Intense competition has led to low prices and created a potential for further growth of the service penetration. Since there is a 20 percent penetration in the East African nation while an average 45 to 50 percent is recorded globally.

Internet World Stats gives the internet users in Tanzania at an estimated number of 7,590,794 as at 30 of June, this year, which is equivalent of 14.5 per cent of the total population according to the Daily News.

“The opportunities in the market (internet) are still immense,” Said Mr. Kazaura
Tanzania has the cheapest mobile data in Africa
Usiforce tufanane nao
 
Mr Hero, wao hujidai na Mpesa yaani pamoja na kuanzia kwao charges ziko juu Kenya kuliko Tanzania. Wakenya watu wa ajabu sana wanajitamba na Safaricom jinsi monopoly ya inavyowakamua wakati Vodafone ndo inafaidika! Huyu Sammuel999 inapaswa atolewe huu upuuzi!
 
Oh, I get it, the more you buy the cheaper the rate........ So who controls the rates anyway, serikali inachukua cut yake for every bundle sold, alafu campuni nayo inataka faida.... so ukitaka kupunguza data, ni serikali ipunguze kodi, kitambo nakumbuka ilikua ni rahisi sana, kuna wakati safaricom walikua unalipa 500 unapata unlimited data wiki nzika unadownload utakavyo, alafu ikafika mda wakaanza kupandisha speed, hapo pia bei ikaanza kupanda, sahii kuna ile wireles router ya safaricom inaitwa bigbox, unaeza download hadi 6MBPS,...

View attachment 426209

nafikiri hua kuna cycle flani campuni zinapitia, mwanzo wanashukisha bei kuvutia wateja, alafu wakipata wateja wa kutosha wanapandisha bei kupata faida, alafu wakiboresha mtandao wanaongeza tena.....inafika mahali wako na wateja wengi wa kutosha hapo ndo wanaanza kupunguza bei tena....
Hii ya tigo
wp_ss_20161030_0001.jpg
 
Back
Top Bottom