Tanzania has the cheapest mobile data in Africa

How is it that 4G data bundles safaricom sells you a package of 5GB at sh1,500 which translates to 300 or $3 per 1GB........
but same safaricom sells you 3G data at 1GB is 500sh...
 
Oh, I get it, the more you buy the cheaper the rate........ So who controls the rates anyway, serikali inachukua cut yake for every bundle sold, alafu campuni nayo inataka faida.... so ukitaka kupunguza data, ni serikali ipunguze kodi, kitambo nakumbuka ilikua ni rahisi sana, kuna wakati safaricom walikua unalipa 500 unapata unlimited data wiki nzika unadownload utakavyo, alafu ikafika mda wakaanza kupandisha speed, hapo pia bei ikaanza kupanda, sahii kuna ile wireles router ya safaricom inaitwa bigbox, unaeza download hadi 6MBPS,...



nafikiri hua kuna cycle flani campuni zinapitia, mwanzo wanashukisha bei kuvutia wateja, alafu wakipata wateja wa kutosha wanapandisha bei kupata faida, alafu wakiboresha mtandao wanaongeza tena.....inafika mahali wako na wateja wengi wa kutosha hapo ndo wanaanza kupunguza bei tena....
 
Ni mpumbavu wa Kikenya tu anayeweza kudai number of internet users in Tanzania ni 7 mln au 15%! Tanzania has over 21 mln internet users! N penetration over 80%! Thanks to NICTB n Halotel!
 
Population ya Kenya ni ngapi masee?
 
Nilikuwa Kenya karibuni nikajionea ajabu, jamaa zangu wamawasha data kusoma msg na kujibu halafu wanazima, nikawauliza kulikoni? Wanasema data ghali sana, halotel ukijaza credit ya elfu 10 Kwanza wanakupa mb 750
 
Usiforce tufanane nao
 
Mr Hero, wao hujidai na Mpesa yaani pamoja na kuanzia kwao charges ziko juu Kenya kuliko Tanzania. Wakenya watu wa ajabu sana wanajitamba na Safaricom jinsi monopoly ya inavyowakamua wakati Vodafone ndo inafaidika! Huyu Sammuel999 inapaswa atolewe huu upuuzi!
 
Hii ya tigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…