K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,780 Reaction score 15,488 Mar 31, 2025 #1 Imefika wakati kila mtu anajua tatizo lakini ni hao hao wana lalamikia utaratibu wetu cha ajabu ndiyo hao hao wanatakiwa kubadilisha utaratibu! Huwezi kulalamikia mifumo kila siku Attachments 55ff101e-191c-4fd8-af87-9fc257ccb706.mp4 21.1 MB
Imefika wakati kila mtu anajua tatizo lakini ni hao hao wana lalamikia utaratibu wetu cha ajabu ndiyo hao hao wanatakiwa kubadilisha utaratibu! Huwezi kulalamikia mifumo kila siku
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,235 Reaction score 98,463 Mar 31, 2025 #2 Kama hakuna mosingi ya HAKI kwenye taifa kila mtu atalalamika.
G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,449 Reaction score 10,310 Mar 31, 2025 #3 Ccm wamefitinika