Tetesi: Tanzania hatarini kuondolewa AFCON 2025 baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF)

Yaani mtoa hiyo taarifa ni kama huku Bongo atoe Manara TV?

Acheni masihara basi

Tukutane Morocco 2025 💪
 
Kuna upuuzi unaitwa trend,ubaya wandishi wa habari wachambuzi, wapuuzi wa social networks wanaropoka na kupayuka ili mradi wa trend.
 
Jamaa anajua Tanzania mnapenda sana mpira. Ndio maana anajifanya mchambuzi sana, hasa mpira unaohusu Tanzania.

 
mama yetu anahela atawatuliza na kuwafunga midomo hao CAF na tunasonga mbele
 
Itakuwa poa sana, laana ya mil 700 wakati muhimbili kitanda kwa siku 50k. Nitafurahi sana ikiwa hivyo
 
Na mziki nao husikilizi? Maana huko nasikia visida vinachezewa kama watoto wanavyocheza na golori
Atleast mziki naeza nikachagua tune ninayoipenda.

Sasa kwenye mpira, yaani watu wanafukuzana uwanjani halafu unaumia wewe unaetazama, how!!!
 
Taarifa hii ya TFF haijitoshelezi na haijibu hoja husika

Taarifa hiyo ilitakiwa ifafanunue huyo mchezaji aliyeingia sub alivaa jezi namba ngapi na ndiyo hiyo iliyowasilishwa kwa mamlaka husika kabla ya mechi?
Ni sahihi kabisa mkuu. TFF wanatoa taarifa kama wamekatwa vichwa. Bora wangekaa kimya tu. Walipaswa kuweka ufafanuzi wa uhalali basi.

Wameanza kutupa wasiwasi.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…