Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Unajaribu kumwelimisha mtu alieshia elimu ya kiwango chake jambo kama hili?Ubora wa elimu ya marekani na Tanzania ni sawa?
Unajaribu kumwelimisha mtu alieshia elimu ya kiwango chake jambo kama hili?Ubora wa elimu ya marekani na Tanzania ni sawa?
Tunajua elimu uliyoishia, ndio maana unasema vitu kama hivi. Walewale mnaoshauri ukimaliza LLB kasome VETASio lazima kwenda Marekani kama kusoma hata bongo vyuo vipo
Ukirudi pitia Kisimiri ushtue ubongoMarekani kuna nini kipya huko? Labda dollar tu ndio tunazifuata. Tanzania tamu bwana japo nipo ughaibuni lakini home sweetie home napakumbuka sana
Wamekudanganya. Tatizo ni moja tu, nalo ni kiherehere cha DIKTETA SAMIA au nasema uongo Dkt. Gwajima D?Nimewauliza jamaa zangu, wanasema kilichotuponza ni mambo manne;
Hata hivyo wanasema mchakato bado unaendelea
- Uongozi wa awamu ya Magufuli na Samia katika ukiukwaji wa demokrasia, katiba na haki za binadamu (wamenikumbusha juu ya kesi ya Lissu, Mbowe na marufuku ya Makonda kukanyaga USA na kwamba bado anakumbatiwa na serikali japo inajua makosa yake)
- Watanzania wengi wanaoingia USA na kuwa wahamiaji haramu na kujihusisha na madawa na uhalifu na hata terrorism
- Tanzania kuonwa kuwa ni source au njia ya usafirishaji madawa ya kulevya
- Ukaribu wa Tanzania na Urusi , North Korea na China katika masuala ya kimataifa
Ila huko nyuma nilishasema humu JF, kwamba uongozi wa Raisi Samia hauna sera inayoeleweka kuhusu mambo ya nchi za nje, na utakuja kutuponza.
Hakuna uchawi hapa, dawa ni kuukataa uongozi uliopo na kuleta mabadiliko ya kiutawala nchini. La sivyo utasikia na Ulaya wanatuwekea mtima nyongo kwenda huko. Hakuna uongozi wa kidikteta unaopendwa duniani.
Ili kupata dollar inabidi uende Marekani? Kuna watu elimu zenu ni ndogo sana lakini mnajifanya mnajua sana mamboMarekani kuna nini kipya huko? Labda dollar tu ndio tunazifuata. Tanzania tamu bwana japo nipo ughaibuni lakini home sweetie home napakumbuka sana
Angalia vigezo vinavyotufanya tuwekwe kwenye orodha kabla hujawalaumu Chadema;
- Uongozi wa awamu ya Magufuli na Samia katika ukiukwaji wa demokrasia, katiba na haki za binadamu (wamenikumbusha juu ya kesi ya Lissu, Mbowe na marufuku ya Makonda kukanyaga USA na kwamba bado anakumbatiwa na serikali japo inajua makosa yake)
- Watanzania wengi wanaoingia USA na kuwa wahamiaji haramu na kujihusisha na madawa na uhalifu na hata terrorism
- Tanzania kuonwa kuwa ni source au njia ya usafirishaji madawa ya kulevya
- Ukaribu na Urusi , North Korea na China katika masuala ya kimataifa
Katika duru za kidiplomasia hawawezi kusema sababu ni "kiherehere cha Dikteta Samia wa Tanzania", bali watasema hivi; "Uongozi wa awamu ya Magufuli na Samia katika ukiukwaji wa demokrasia, katiba na haki za binadamu"Wamekudanganya. Tatizo ni moja tu, nalo ni kiherehere cha DIKTETA SAMIA au nasema uongo Dkt. Gwajima D?
Kwanini tunakumbatia mataifa ambayo baadhi ni lovers na adui kwa matiafa yenye tija, mrengo wa itikadi unafaida gani kwa taifa.Kitendo cha Kukumbatia Korea Kaskazini, China na Urusi tayari sisi Wafanyabiasha wa Kitanzania tunaouza bidhaa zetu USA kishaanza kutuumiza
Yote hayo nadhani ni katika kukumbatia nchi kama Urusiumesahahu tanzagiza na irani? nani anapull strings tanzagiza? mara ngapi meli za irani zilionekana kutumia bendera ya tanzagiza ? …
Narudia tena TATIZO NI DIKTETA SAMIA.Katika duru za kidiplomasia hawawezi kusema sababu ni "kiherehere cha Dikteta Samia wa Tanzania", bali watasema hivi; "Uongozi wa awamu ya Magufuli na Samia katika ukiukwaji wa demokrasia, katiba na haki za binadamu"
Makonda alipokuwa akiua watu hawakusema anaua watu, walisema hivi "anawanyima watu haki yao ya kuishi".
Elewa lugha za kidiplomasia kijana
Sio lazima kwenda Marekani kama kusoma hata bongo vyuo vipo
Marekani kuna nini kipya huko? Labda dollar tu ndio tunazifuata. Tanzania tamu bwana japo nipo ughaibuni lakini home sweetie home napakumbuka sana
Hapana, sio mimi, ni USA - na hawakusema walimpiga marufuku kukanyaga USA kwa sababu ya kukataa ushoga, bali kwa sababu alihusika wakati wa Magufuli "kuwanyang'anya watu haki yao ya kuishi"Kwahiyo unataka serekali isimkumbatie Makonda kisa alikamata mashoga? Na wewe unaamini alivunja haki za binadamu kwa kukamata mashoga?
Muulize Samia na waziri wake wa mambo ya nje!Kwanini tunakumbatia mataifa ambayo baadhi ni lovers na adui kwa matiafa yenye tija, mrengo wa itikadi unafaida gani kwa taifa.
Kwahiyo mwanaume kuolewa na mwanaume mwenzako hiyo ni haki ya kuishi? Kwamba ukiziia inakua umezuiwa usiishi?Hapana, sio mimi, ni USA - na hawakusema walimpiga marufuku kukanyaga USA kwa sababu ya kukataa ushoga, bali kwa sababu alihusika wakati wa Magufuli "kuwanyang'anya watu haki yao ya kuishi"
Sasa wewe usitake kumfanya Makonda shujaa dhidi ya USA, tunajua maana ya "kuwanyang'anya watu haki yao ya kuishi" ni kuua watu, sio kuzuia matendo ya ushoga
Home sweet home ukiwa huko, ila wanaokula vumbi humu home is almost hell, nothing to brag about.Marekani kuna nini kipya huko? Labda dollar tu ndio tunazifuata. Tanzania tamu bwana japo nipo ughaibuni lakini home sweetie home napakumbuka sana