Tanzania hatarini kuwekewa marufuku ya kusafiri kwenda Marekani

Kwahiyo mwanaume kuolewa na mwanaume mwenzako hiyo ni haki ya kuishi? Kwamba ukiziia inakua umezuiwa usiishi?
Waulize USA maana ya haki ya kuishi ni nini, maana unaonekana huna uwezo wa kuelewa USA wanaposema Makonda aliongoza kikosi cha mauaji cha Magufuli, kilichotia ndani jaribio la kumuua Lissu
 
Waulize USA maana ya haki ya kuishi ni nini, maana unaonekana huna uwezo wa kuelewa USA wanaposema Makonda aliongoza kikosi cha mauaji cha Magufuli, kilichotia ndani jaribio la kumuua Lissu
Hebu leta hiyo ripoti inayothibitisha USA ilisema imemzuia makonda kisa ameongoza kikosi cha kutaka kumuua Lissu
 
Hebu leta hiyo ripoti inayothibitisha USA ilisema imemzuia makonda kisa ameongoza kikosi cha kutaka kumuua Lissu
Upoyoyo na ukilaza wako katika kufuatilia current affairs usiwe issue ya mimi kuhangaika ili kukupa habari. Kama hujui ku-google omba mtu akufundishe namna ya kupata taarifa hiyo ya USA
 
Ndio vizuri kwani tusipoenda Kuna shida gani?
 
Upoyoyo na ukilaza wako katika kufuatilia current affairs usiwe issue ya mimi kuhangaika ili kukupa habari. Kama hujui ku-google omba mtu akufundishe namna ya kupata taarifa hiyo ya USA
We umegoogle wapi huo utopolo unaouandika humu? Maana kila mtu atashangaa hiyo ripoti yako uchwara kuwa alizuiwa kisa kaongoza genge la kumuua Lissu, kwa umri wako hupaswi kutuletea stori za vijiweni humu
 
Sawa, lakini sikuambii. Tafuta mwenyewe kama una una akili
 
Afrika kweli tumetokana na Nyani wewe unasema Marekani hamna kitu Rais wako tu anaota kupata mwaliko Trump Kuna mtu alikua na kiburi kuzidi Ramaphosa?
Marekani kuna nini kipya huko? Labda dollar tu ndio tunazifuata. Tanzania tamu bwana japo nipo ughaibuni lakini home sweetie home napakumbuka sana

Marekani kuna nini kipya huko? Labda dollar tu ndio tunazifuata. Tanzania tamu bwana japo nipo ughaibuni lakini home sweetie home napakumbuka sana
 
Tanzania ni nchi huru

nadhani ponjoro atakuja kuwajibu Marekani kwa ukali sana
 
Acha kuleta sababu zako zakuunga unga ili kujifariji.Taarifa kila mtu kaisoma wewe unaletea ya kwako kwasababu zako unazozijua.Hizo nisera za trump na kila uongozi una sera zake na nikawaida.Watu wanajali maslahi yao sio hiyo stori uliyoandika na usifikiri serikali hazina taarifa yakinachoendelea.
 
Marekani imeweka Tanzania, Uganda, DRC na Sudan Kusini miongoni mwa nchi 36 kwenye orodha ya mataifa yanayoweza kupigwa marufuku ya kusafiri. Sababu kuu ni Hati za kusafiria kuwa na dosari za kiusalama.

Kukataa kushirikiana katika kuwarejesha wahamiaji waliokataliwa.

Wasiwasi kuhusu usalama na vitisho vya ugaidi

Nchi hizo zimepewa siku 60 kurekebisha kasoro hizo, la sivyo zitawekewa marufuku ya kuingia Marekani au vizuizi vya utoaji wa visa. Sudan Kusini tayari imeanza kuwekewa adhabu ya vizuizi vya visa.
 
Achana na mambo ya vichochoroni... Weka chanzo cha taarifa yako.
 
Home sweet home ukiwa huko, ila wanaokula vumbi humu home is almost hell, nothing to brag about.
Mkuu nyumbani ni nyumbani tuu haijalishi unakula nini...huku tunatafuta tuu lakini maisha yapo nyumbani
 
Mkuu nyumbani ni nyumbani tuu haijalishi unakula nini...huku tunatafuta tuu lakini maisha yapo nyumbani
Ukirudi home ukakaa 2yrs na mambo hayaendi ndio utajua kuwa it's sweet su bitter mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…